The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Mimi hupenda robo robo,naupenda moyo wangu na furaha yangu, na mapenzi kwangu sio kiupaumbele. Na nikiona nakolea upendo naachana
Matatizo ndio yanaanziaga hapa πŸ˜…


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mapenzi ni kama ujasiriamali wa hisia tu. Usiogope kuwekeza hisia kwa mtu umpendae. Ni jambo zuri na very soothing.Endapo ataleta ngendembwe basi chukulia easy songa mbele. Mapenzi yananoga ukipenda fully bila limits.
You said it all bro ✊🏽πŸ’ͺ🏾



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Upo sahihi kwa asilimia zaidi ya 75.

Il wakati nasoma uzi nikakumbuka nyimbo ya Kimombo Kiswahili.
 
Matatizo ndio yanaanziaga hapa [emoji28]


Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Do not commit to anyone I use this point and it works kuliko wanaodaganya wenzao na kuishia kuwaumiza
 
Tunapenda
Tunaumizwa
Tunasonga mbele.

Tunaingia wazima.maumivu huwa makali tunapoumizwa lakini hii si sababu ya kutoingia wazima wazima.
That's love, and that's LIFE, acha yatuendeshe tu πŸ˜‚πŸ˜‚


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mke unalala naye uchi, anakunyonyesha utu uzimani, anakuzalia watoto wako kitu ambacho mamako hawezi kukupa na hyo ndio power shift
Mpaka anakuoa kishaona uchi wa wanawake wangapi,wewe unazani mwanaume anakuoa anataka uchi?

Kuhusu watoto mwanaume anaweza akakuoa ww still bado ana watoto na mwanamke mwengine na vilevile anaweza akazaa na nyumba ndogo kama ukimzingua.

Mwanaume anaoa sio sababu ya uchi au watoto kwani,hivyo vyote anaweza kupata bila hata kuoa.
 
Umaeongea kwa uchungu Sana mkuu, it seems kuna mengi na makubwa umepitia kwenye uhusiano/mahusiano yako........naomba Mungu akuponye na akupe nguvu ya kuanza upya.

Dunia bado Ina watu wengi wazuri wanaishi, usikate tamaa.



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Tunafanana kabisa
 
Bado huko kuingia nusu nusu sio solution, lakini pia you can still share with us, how can you able to do that, kupenda nusu nusu. 😀




Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Do not commit to anyone I use this point and it works kuliko wanaodaganya wenzao na kuishia kuwaumiza
So what if umekutana na the guy, akaonesha kukupenda na kukubali Ku sacrifice kila kitu, bado utaendelea na msimamo huo?


Let's meet at the top, cheers 🍻
 

True πŸ’―, its not all about sex muda wote, unapoamua kuoa kuna kitu extra unahitaji, that's LOVE!



let's meet at the top, cheers 🍻
 
Kwani na huyo mwanamke si anakuwa ameona nyuchi za kila aina na size, kuzaa hata ukizaa na wanawake kumi haimaanishi mamako anaweza ku replace hyo nafasi.
Hata wanawake pia wanazaa tofauti, so you have to accept mzazi alikuwa chombo Cha kukuleta dunia tu Kama na wewe utakavozaa watoto basi.
 
Yah
Mwisho wa siku tunapona ..muda ni daktari mzuri.
Mimi hata nitendwe vipi,sitaacha kupenda mzima mzima.
😍 Serebuka~ Mwasiti.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
So what if umekutana na the guy, akaonesha kukupenda na kukubali Ku sacrifice kila kitu, bado utaendelea na msimamo huo?


Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Staki tu kupendwa mkuu, najipenda mwenyewe inatosha kabisa, napenda kuishi life langu mwenyewe bila kufatiliwa.
 
True [emoji817], its not all about sex muda wote, unapoamua kuoa kuna kitu extra unahitaji, that's LOVE!



let's meet at the top, cheers [emoji482]
Kwani unafikiria na wanawake huwa tunafikiria hilo tendo
 
Staki tu kupendwa mkuu, najipenda mwenyewe inatosha kabisa, napenda kuishi life langu mwenyewe bila kufatiliwa.
Bora ujipende mwenyewe tu mwaego πŸ˜…, mapenzi matamu sema yana ugumu wake, you have to sacrifice a lot, sasa si kila mtu anaweza hivyo, Understood.



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Ninaweza pendwa Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaweza penda tena

πŸ˜‚ I love that song, hasa ile remix yake , huwa unanifanya nijifeel alive all the time....


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…