Thinking far: Kutangaza uwepo wa COVID-19 ni mkakati wa kutengeneza matukio?

CHANJO ITAKAYOKUJA HIVI KARIBUNI MSICHANJE NI CHAPA YA SHETANI ina kazi yake ya uharibifu katika system yako kimwili na KIROHO ni ya shetani kutoka kuzimu.
 
Umeandika point nzuri sana, ila kuja kuingiza huu ujinga wa 666 nimeona na wewe una shida brain washed.
 
Acheni siasa na ujinga wenu kwenye kila Jambo, watu wanaumwa na Kufa mtaani, binafsi pia naumwa na hayo mafua makali, humu jf kuna ushuhuda kibao wa watu kuumwa na Kufa.
 
Mkuu acha kutingisha meza.... Vinywaji ni vikali na bei juu...

Mkuu tutulie tuendelee kunywa taratibu Kisha tutajua mbele ya safari..
 
COVID siku zote haipigi vijana wenye immunity kubwa, ina deal na wazee na watu wenye magonjwa sugu, so unaweza ukaona kwako sio tatizo ila wewe ndio ukawa source ya kuua wengine.
 
Hii kitu imenipiga kwa wiki mbili, hali ilikua mbaya sana, ni bora wizara imetangaza kabisa maana kule hospital Dr alisema naumwa pamoja na pumu daah
 
Wizara zisifanye kazi kisa mauaji ya October 29?.

Msione kitu kinafanyika mnakimbilia kuhoji October29.

Kila anachofanya binadamu huja, huwepo kisha huondoka.

Punguzeni nongwa waungwana.
Uchawa tu unakusumbua unaogopa kurudishwa kwenu . Hata mfanyeje mauaji ya Watanganyika zaidi ya 10,000 hayawezi kusahaulika kwa vizazi vinne vihavyo damu za ndugu zetu zinalilia kisasi.
 
Uchawa tu unakusumbua unaogopa kurudishwa kwenu . Hata mfanyeje mauaji ya Watanganyika zaidi ya 10,000 hayawezi kusahaulika kwa vizazi vinne vihavyo damu za ndugu zetu zinalilia kisasi.
Sawa na yale mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 yataingia kwenye kumbukumbu mbaya za historia ya uwepo wa Tanzania.

Kisasi hakiwezi kukusaidia wewe, mimi, yule na mtanzania aliye mbali na sisi. Msamaha ndio mpango mzima.
 
Akili zenu bana,na mnajionaga great thinkers,march kila mwaka huja na mafua makali, COVID-19 hata mwaka Jana ripoti zilisema ipo kipindi kama hiki
Suala la oktoba limeisha, wanaharakati si chochote
 
Ngoja ikukute ndio utajua kuna COVID 19 na kipindupindu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…