a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
NI Kweli magonjwa ya kuambikiza yanawadhuru zaidi wenye kinga za chini ?COVID siku zote haipigi vijana wenye immunity kubwa, ina deal na wazee na watu wenye magonjwa sugu, so unaweza ukaona kwako sio tatizo ila wewe ndio ukawa source ya kuua wengine.
Hayati JPM alifanya kosa la kutoka Chato akaenda Dodoma kisha akaja Dar.COVID siku zote haipigi vijana wenye immunity kubwa, ina deal na wazee na watu wenye magonjwa sugu, so unaweza ukaona kwako sio tatizo ila wewe ndio ukawa source ya kuua wengine.
malimao ,vitunguu ,swaumu na tangawizi zitapanda bei..
sanitaiza zitapanda bei..
barakoa zitapanda bei..
Wiki mbili zilizopita ndug yangu aliumwa mafua makali sana sio kawaida aliyapata kwenye Msiba flan jiran yake alikua na mafua.Hilo futa kweli linazunguka mtaani hapo Dar.
Home kwangu limesumbua familia yote kasoro mimi sikuwepo.
Kuna chalii bado linamsumbua hilo futa.
Ukiongeza na dengue ni balaa.
MAFUA HAYANA DAWA huwa yanaisha yenyewe tu...hata haya mafua ya virusi vya mafua yatakuja na kupita kama ilivyokuwa covid 19..korona)²Wiki mbili zilizopita ndug yangu aliumwa mafua makali sana sio kawaida aliyapata kwenye Msiba flan jiran yake alikua na mafua.
Dawa alimeza hamna k2 kalala wiki nzima hatoki nje anasema koo linawaka moto akikohoa. Hii taarifa ndo imempa idea ya alichopitia..
Umeona mbali mno.Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Yes mkuu ndio maana hivi vitu sio wakati wa mvua tu jizoeshen kutumiaKwenye msimu wa baridi inaongezeka makali.
Huna uelewa wowote juu ya eneo hilo, lakini bado huachi kujifanya mjuaji..Covid19 tangu igunduliwe haijaacha kusumbua mataifa duniani.
Pakiibuka hali ya kaubaridi na yenyewe inaibuka pia.
Endelea kudanganywa na zile posts za kwenye makundi sogozi ya marafiki mliosoma nao miaka ya nyuma.Huna uelewa wowote juu ya eneo hilo, lakini bado huachi kujifanya mjuaji..
Hiyo 'COVID-19' unajuwa "iligunduliwa lini? Kabla ya hapo hapakuwepo na mafua ya aina hiyo hapa Tanzania? Wewe ulikuwa ukiishi wapi usilijue hilo.
HAPANA, kama wangetaka kumuua Lissu au Heche wala hawatohitaji visingizio wangemuua tu maana CCM haina aibu tena inafanya mambo wazi tu. Ila kinachowazuia ni kwamba Lissu akifariki akiwa kwenye custody ya serikali itakua msala mkubwa kuliko October 29!! So hilo haliwezekani.Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Lissu ni mwanasiasa hatari sana kwa kauli zake zenye kujaa ujuaji na dharau. Hakuanza awamu ya SSH tangu miaka ya hayati JPM.HAPANA, kama wangetaka kumuua Lissu au Heche wala hawatohitaji visingizio wangemuua tu maana CCM haina aibu tena inafanya mambo wazi tu. Ila kinachowazuia ni kwamba Lissu akifariki akiwa kwenye custody ya serikali itakua msala mkubwa kuliko October 29!! So hilo haliwezekani.
Bora Lissu yupo jela, otherwise angeuwawa ile October 29!! Believe me.
Nini tena Wazanzibari!!!!!Mnatolewa kwenye mijadala ya mauaji ya Watanganyika yaliyofanywa na Wazanzibari ili Mzanzibari mwenzao aitawale Tanganyika.
Utanisamehe, lakini umeandika kipumbavu sana mkuu 'Matola', teana unajipachika udaktari kabisa.Endeleeni kukumbatia ujinga, nyumba nyingi Dar zimejaa mbu wa mchana wakali wanaeneza Dengue.
Fanyeni farmigation majumbani kwenu zingatia kanuni za afya, acha kulishwa propaganda hizi mtakufa kizembe.
Wewe ni kiazi sana. ICC na Lissu wapi na wapi.Lissu ni mwanasiasa hatari sana kwa kauli zake zenye kujaa ujuaji na dharau. Hakuanza awamu ya SSH tangu miaka ya hayati JPM.
Kauli zake zinaweza kumtia hatiani ikiwa ICC watafanya upelelezi wa kina juu ya kilichotokea October 29.
Huna la kusema, ungenyamaza tu.Endelea kudanganywa na zile posts za kwenye makundi sogozi ya marafiki mliosoma nao miaka ya nyuma.
Naona hata lugha haitofautiani na mwenzio Tlaatlaah!Wizara zisifanye kazi kisa mauaji ya October 29?.
Msione kitu kinafanyika mnakimbilia kuhoji October29.
Kila anachofanya binadamu huja, huwepo kisha huondoka.
Punguzeni nongwa waungwana.
Una maoni gani na chanjo ya ukimwi ama dawa ya kufubaza VVU kwa sindano mbili tu kwa mwaka!! Mbona sioni mkiipigia kelele pia au chanjo mbaya ni ya Covid 19 pekee?HANJO PIA PIA HAITASAIDIA.
CHANJO ITAKAYOKUJA USICHAJE..hata ile iliyopita ya korona haikutakiwa uchanje ,kama ulichanja Mungu atusamehe..ila HIYO ITAKAYOKUJA usichanje tens..NI CHAPA 666.