TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Haitoi uhalali wa kujichukulia sheria mkononi. Mpaka mauti yanamkuta kuna ushahidi wowote kuwa kweli alimuibia huyo aliyemuita mwizi.
Mkuu hatuna ufahamu huo lkn huku kitaa kila mtu niliye naye hawajashangaa sabb ya rekodi na matukio yke

Mm siyo muumini wa kuua mwizi na sipendi kuona hata mwizi kweli anauliwa sabb syo haki lkn jamaa maisha aliyojichagulia na title aliyokuwa nayo ni vitu 2 tofauti ana record mbaya ila syo vzr kutoa sifa mby za marehemu ila kwa record yke watu wengi hawajashangaa

Ndio maana watu wa huku hawajaweka doubt yeyote ,naamn kifo chake kingeepukika lkn kwa record yke aah alizidisha -ve things nyingi

Ila c halali kuua na watu waepuke kufanya au kujihusisha na -ves things hutokumbana na masaibu mjini hata siku ukikumbana na masaibu watu wastuke ,lkn cyo unakumbana na masaibu watu hawana doubt na ww sabb ya record yko
 
Mkuu inaonekana unajua kitu nyuma ya pazia tueleze...
 
ALIKUWA MJINGA FULANI TU MTU ASIYETAKA KUBADILIKA LICHA YA KUPATA VIHELA KTK NGUMI LAKINI BADO ALIJUWA ANAJIFANYA MKABAJI USELA MAVI MWINGI,NAKUMBUKA ALIFUNGWA KEKO ALIKAA KIDOGO..LAKINI MWISHO WAKE HUWA NDIYO HIVYO....RAIA SAHV WANA HASIRA SANA UKIWAZINGUA WAO WANAKULIPUA

OVA
Alishawahi kufungwa miaka 2.
Alishaponea chupuchupu mburahati

Ukikutana naye night Kali lazima ule ngumi nzito na kuachia vitu vyako ,alikuwa mkabaji mzr na mbabe wa kijinga

Ujanja ukiwa mwingi madhara yke ndio hayo
 

Daaah mkuu upo sawa sana hili suala lipo siku nyingi lakn serikali wanawalea mm nimekulia magomen kagera haya mambo nayafahamu sana lakn serikali wamekula buyu tu
 
!
!
Duuuh.......ila hata kwa sura tu mchizi anaonekana ana sura ngumungumu hivi ya ukimuona uweke simu mbali
MKABAJI MSELA MAV TU....ALIKUWA,
SEMA WATU NAMNA HII HAWAJIFUNZI KIPINDI CHA NYUMA KUKIKUWA NA BONDIA KMJA ANAITWA PAULO SIZA ALIJUWA ANACHEZA NGUMI UZITO WA JUU,ALIKUWA NAYE ANAKABA......WAKATI ULE PALE LANGATA SOCIAL HALL WATU CHOONI WAKIENDA KUJISAIDIA WALIKUTANA NA VITASA,JAMAA ALIKUWA NA MCHEZO HUO SANA KUWAVIZIA WATU NA KUWAKABA NA KUWACHUKULIA VITU KAMA CHENI,SAA,HELAAA...
ILA NAYE AKIYAKANYAGA KWA RAIAA NAO WALIMALIZAAA HAPO HAPO....

OVA
 
Watanzania wapi hao unaowasemea hawawezi kuwavamia watu bila kuhoji ukweli wa mambo ? Hivi ni mara ya kwanza kwa matukio ya namna hii kutokea Tanzania ?

Wale watafiti waliochomwa moto Dodoma ni Wareno ndio waliwachoma ?

Tukio hili zima lina ukakasi ila usipende ku generalize mambo
 
Huyu jamaa nimbabe mno tangu enzi hizo turiani- morogoro kwa mamake akihitaji kitu dukan hatoi pesa nachenji unampatia, ila kwawalio msababishia kifo hatua zichukuliwe
 
Nakumbuka kuna mchezaji mmoja alichezea yanga ,stars na saiz yupo timu moja hv kabla alikuwa mkabaji hatari lkn tokea aajiriwe kwenye mpira kabadilika sana na imekuwa history tu saizi .

Lkn ndugu yetu Bado aliendekeza ujinga na maskani yao ya wapiga nguki manzese ,kagera ndio walivyo,.unaambiwa toa simu na mwenyewe unatoa mchana kweupe ,.ukiingia kwenye anga hutoki utakabwa ngumi utakula

Japo ni jambo la kuhuzunisha lkn iwe fundisho kwa wengine ,.tuacheni kujihusisha na masuala ya kijinga kila jambo lina mwanzo na mwisho

Na unachosema mkuu ni kweli kabisa watu wa manzese ,kagera nk wanamjua vilivyo . .maisha aliyojichagulia siyo kabisa
 

Hayo makusanyo yanaenda kwa hap matembo na isitoshe polisi wanafahamu haya mambo lakin wamekaa kimya km unaweza kufanya tafiti nenda ubungo stendi ya magari ya mlandiz na mbezi kote uko kuna matembo,
 
Loh, ukisoma michango ya members hapa ndio unajua 'ukuu' wa jf. Hata ufanye nini iko siku umma utakujua aisee!
 
Akiwa mtu mmoja wanajifanya wanahasira lakn kikiwa kikundi cha vijana watano wakiwa na mapanga wanatafuta pa kutokea ..

Kama wanajifanya wanahasira mbona panya road wamewashinda? Wanaume Wa dar wanatabia za kike kweli
Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…