TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

habari zinasema jamaa alijingiziza kwenye biashara ya kukaba watu na alitumia skils zake za ndondi vizur hasa akiwa bar na mkiwa mshalewa na ana RB nyingi tu ....so far ukiangalia hilo tukio ni kama ilikuwa inatafutwa sababu tu ..haiwezekani mumpige mtu mnaye mjua kabisa
 
Alikuwa na usela mavi... Flani hivi akikukuta una simu kali... Anachukua ukibisha unapigwa 1.two.... Haya picha limetoka maandishi.
 
Duh, wanaume wa Dar wana Ma Tembo yao,Kin.a.na ana Habari?
 
HAAA Kifo ni kawaida but vifo hivi dah!?Alazwe anapostahili...
 
God Taita
 
Mimi binafsi namfahamu Thomas Mashali enzi hizo nilikuwa naishi Tandale.Mashali alikuwa anaishi Tandale Muembeni karibu na makaburi ya kwa Bi Mtumwa,alikuwa mtemi na m'babe maarufu sana mitaani.Ukikutana nae tu,jua umekutana na dhoruba.Maana akitaka kufanya chochote kwako anafanya tena mchana kweupe.Na hata mchezo wa ngumi ameanza siku nyingi ila alitumia kipaji chake vibaya.

Kuna wadogo zake wawili wa kiume mmoja anaitwa Charles mashali,yeye alikuwa anacheza sana mpira enzi hizo mpira wa 'chandimu'

Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Bongo tunatia aibu sana.

Yani wanamichezo tunaowategemea ndio wanaongoza kuwa na njaa.
 
Hata kama ndo ujichukulie sheria mkononi?
 
Tabia ya ukabaji ina matokeo mabaya saana maana nafsi nyingi zinalia kwa kudhulumiwa Mali zao na kupata na kipigo. Pamoja na majeraha na vilema vya milele.

Si ajabu kwa sasa baadhi ya wakazi wa Tandale na manzese waliokuwa wahanga wakubwa wa makonde ya marehemu wanakula na kunywa wakifurahia kung'olewa kwa kisiki kilichowakosesha raha usiku na mchana.

Pole kwa wafiwa na mungu ampe kulingana na mapenzi yake marehemu mwanamasumbwi.
 
Yaan super star anapoteza maisha kirahisi hivi! Tanzania ni zaid ya niijuavyoo
 
Sawa. Sasa hii ina uhusiano gani na kifo chake.
 
Jamaa eti alikuwa akikupata na simu kali anaichukua ukileta kiburi unakula ngumi la shingo haha jamaa kma ni kweli alikuwa mtemi ila kakutana na watemi
 
Huyu mashali habari ya Jana ITV alikuwa anazungumzia suala la cosmas cheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…