laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
jela alienda kufanya nini?sio kweli simba asiyefugika (mashali)alikuwa mtetezi wa wanyonge na alipokuwa jela aliwasaidia sana wanyonge labda ungeniambia mada maugo au said mbelwa ningekuelewa ila sio mashali
we si mtanzania?jela alienda kufanya nini?
Mashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE....ni Kimara ipi na bar gani;hilo eneo inabidi liwe chini ya karantini mwezi mzima blalfuu!
..R.I.P Mashali!
Kama umenipenda we sema tu acha kujishauawe si mtanzania?
Umejuaje?Mashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE.
Mkuu, ulimaanisha "ndondi" sio?R.I.P mpiga ndonga.
Kama umenipenda we sema tu acha kujishaua
Enyi watu mtu anapokumbwa na umauti sio wakati wake kusema myasemayo kwa kuona unatumis jina la uongo kwenye jf.wewe huenda unanunua malaya,huenda ni mlevi,hutoi sadaka,hufanyi ibada,unawakela jirani zako.zote ni dhambi mbele ya Mungu.usitingwe na dunia kujiona huru sana fahamu Mungu anasema nini baada ya mtu kukumbwa na umauti.mashali kuchomwa motoni au kuingia peponi Mungu anajuaMashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE.
Funguka dada usiogope
hakuna kitu kibaya kama ujambazi, wizi, unajua ni watu wangapi wameatthirika na matendo yake.....bora uwe mlevi, malaya lakini hudhuru binadamu mwingine.Enyi watu mtu anapokumbwa na umauti sio wakati wake kusema myasemayo kwa kuona unatumis jina la uongo kwenye jf.wewe huenda unanunua malaya,huenda ni mlevi,hutoi sadaka,hufanyi ibada,unawakela jirani zako.zote ni dhambi mbele ya Mungu.usitingwe na dunia kujiona huru sana fahamu Mungu anasema nini baada ya mtu kukumbwa na umauti.mashali kuchomwa motoni au kuingia peponi Mungu anajua
We wacha kuzingua siwazii habari za kutaka waganga njaa wenzangu wa jfFu
Funguka dada usiogope
We wacha kuzingua siwazii habari za kutaka waganga njaa wenzangu wa jf
...hujui hata jela aliendaje.,afu ghafla wajifanya wamjua sana!jela alienda kufanya nini?
Mashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE.
We umesema ni mtu mwema sasa jela alienda kufanya nini? Au ni jambazi mwenzako?...hujui hata jela aliendaje.,afu ghafla wajifanya wamjua sana!
...acha ushoga na umbea!
....usinipotezee muda,We umesema ni mtu mwema sasa jela alienda kufanya nini? Au ni jambazi mwenzako?
na wewe muuda si mrefu mapanga yanakuhusu jambazi....usinipotezee muda,
..kafie mbele!
Mashali himaya yake ilikuwa kwa Morogoro Rd ni kipande cha Manzese Argentina mpaka TipTop,pia stand ya Midizini gari zinazoenda Buguruni/Manzese wakati Ally Maua Rd(Tandale) ilikuwa ni Tandale penyewe hadi Uzuri darajani.Mkuu Tembo wapo kabisa na ni halisi, wanagawana maeneo.
Mimi hawa niliwafahamu baada ya Tembo wa Ubungo kwenda kuvamia kituo kipya cha Mbezi Mwisho, kukatokea vita kali sana na wale wa Ubungo wakatimshwa, sasa baadae tena kukatokea mtafaruku wa Tembo wa pale Mbezi mwisho mpaka ikafikia kugawana stendi, mwingine alichukua stendi ya Malamba Mawili.
Mashali alikuwa ni Tembo wa Manzese, sina uhakika utawala wake ulikuwa unaishia wapi lakini jamaa alikuwa na eneo kubwa analomiliki kwa muda mrefu tu.
Mashali himaya yake ilikuwa kwa Morogoro Rd ni kipande cha Manzese Argentina mpaka TipTop,pia stand ya Midizini gari zinazoenda Buguruni/Manzese wakati Ally Maua Rd(Tandale) ilikuwa ni Tandale penyewe hadi Uzuri darajani.