Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

Apa nakubaliana na wewe tuchel ni kocha wa kawaid Sion kama ni mtu sahihi
We are UCL Champions 2021

Huu ndio udhaifu wa Tuchel
 
Ni vyema sana, Siasa ikatengwa na michezo in all aspects yaani hadi kwenye uchambuzi.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa Bahatisha Ndulute unakijua , Avram Grant alifika hadi fainali kama hii .
Kwenye soka hua hakuna kubahatisha,hakuna kitu Bahati,hiyo ni imani ya kujifariji tu,team ikifungwa jua kua kuna sehemu inakosea na imezidiwa mbinu na team pinzani,ushindi huja kwa juhudi,maarifa na kujitoa,achana na imani za kusema Bahatisha.
 
Mungu ibariki JF
 
Ulisema[emoji23]
 
Hahahahaha [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…