Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Haya sasa.Next time mkafanye utabiri na uchambuzi wenu kwenye Rede na Karata, huku mnaaibika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa.Next time mkafanye utabiri na uchambuzi wenu kwenye Rede na Karata, huku mnaaibika tu.
Mkuu ametupa UEFA, SUPER CUP na kombe la vilabu duniani bado mada imekosa mashikoWacha weeee !!!
Mkuu unacheka nini wakati TT ametupa UEFA SUPER CUP na kombe la vilabu dunianiHahahahaha [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu utabir wako kwenye mpira upo konki Sana accuracy ya tabiri zako huwa 90% , huwa unafeli kwenye siasa Tu [emoji2] wanaokupinga soon watadhalilika vibaya mno....Chelsea ni timu ngumu mno Kwa makocha wengi....hasa hao walaini laini ambao kila akitaka mchezaji Fulani analetewa