Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #61
Aisee kwa huu ujumbe wako, nina imani ex wako mwaka wake umeisha na mikosi, na pia mwaka ujao utaanza vibaya kutokana na stress za mapenzi kutoka kwako.Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris
Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Amina mkuu.Aisee kwa huu ujumbe wako, nina imani ex wako mwaka wake umeisha na mikosi, na pia mwaka ujao utaanza vibaya kutokana na stress za mapenzi kutoka kwako.
Nje ya mapenzi yenu.. Kwa kuanzia mwaka ujao acha nimtakie mafanikio mema, yenye baraka na furaha tele
Madame B Nami naruhusiwa kutumia hii yako? 🤣🤣🤣Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris
Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Thank you baby gal 🥰
Aamin aamin!
Bado hujasema🤣Hata kama utakuja kujibu mwakani
Happy birthday in advance…
Kheri ya Noeli na mwaka mpya 2024… weuuh! Nakumiss Certified Hater 😂😂😂
Hizi ni brands kubwa sana duniani kwenye tasnia ya UDINI.😂😂😂 Kuwa wish heri ya Christmas hao wakuu wawili, ni sawa sawa na kwenda kuficha magunia ya bangi katika ofisi ya IGP 😂😂😂
Ila mimi wangu sio huyo aliyetag Madame B pls 🤣🤣🤣Doh umempa kavu kweri kweriiii! Na tag juu🤠
Yeah najua hilo!Ila mimi wangu sio huyo aliyetag Madame B pls 🤣🤣🤣
BTW, ni utani tu bwana. Mi wala sina shida na ex.
Sisi ni pipo, vita ya nini?
Kila mmoja ana maisha yake, amani tele.
Wasipumzike bwana acha mapenzi yatuue 🤣🤣🤣🤣nawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaani😀😀😀😀Mungu awatie nguvu
na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
Mtag kabisa cousin tukusaidie kumuwish vizuriMerry Christmas and a happy new year The One and only king of mine
Hayupo humu cousin🚴🚴🚴🚴🚴🤠!Mtag kabisa cousin tukusaidie kumuwish vizuri
Mhhh cousin nikajua umerudi kwa bwana miongozoHayupo humu cousin🚴🚴🚴🚴🚴🤠!