Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Aisee kwa huu ujumbe wako, nina imani ex wako mwaka wake umeisha na mikosi, na pia mwaka ujao utaanza vibaya kutokana na stress za mapenzi kutoka kwako.Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris
Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Nje ya mapenzi yenu.. Kwa kuanzia mwaka ujao acha nimtakie mafanikio mema, yenye baraka na furaha tele