Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris

Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Aisee kwa huu ujumbe wako, nina imani ex wako mwaka wake umeisha na mikosi, na pia mwaka ujao utaanza vibaya kutokana na stress za mapenzi kutoka kwako.

Nje ya mapenzi yenu.. Kwa kuanzia mwaka ujao acha nimtakie mafanikio mema, yenye baraka na furaha tele
 
Amina mkuu.
Ndio hivo, kayataka mwenyewe.
 
Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris

Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Madame B Nami naruhusiwa kutumia hii yako? 🤣🤣🤣
Maana ni kama umenisemea 😜
 
Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…

Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)

Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.

Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️

Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
 
Back
Top Bottom