Hapo anajua akikugusa itabidi wauze basi ndio wakulipe. Ila zinafaa sana kwa safari ndefu kuliko town trips kusumbuana na daladalaBima hizo nzurii. Hata barabarani watakuheshimu[emoji23] hizi boxer zetu dereva wa daladala anakuchezea rough huyo na anajua kabisa body ni mwili wako. Ila kwa BMW hawezii
Iko wazi, tena muffler ikiwa inatema ndiyo uchizi mara dufu.Napenda sana bike asee ila hata kujifunza kuziemdesha naogopa maana ni hatari tupu.
Nasikia ukiendesha bike mwendo unavyoongezeka ndio adrenaline nayo inapanda unapata mzuka wakuongeza speed tu.
Ile kitu moto sana. Na inatembea hakuna maelezo.Sijaona jini moja linaitwa Hayabusa
Yale safi sana, binafsi napenda bike kubwa ila sidhani kama naweza kuimiliki. Mbombo ngafu mkuuIle kitu moto sana. Na inatembea hakuna maelezo.
Huyu mnyama ni kiboko, kuiendesha hii ni mpaka uwe na tenki kweli kweli.Huyu hapa mnyama. View attachment 2018264
Aina gani huyu mnyama?Kwa sasa uwezo wangu upo hapa, kadogo lakini katamu.
Hayabusa acha amiliki Mo
View attachment 2018268
kibao cha mbuzi, hii ni honda ndogo toleo la zamani sema imechinjwa na kuboreshwa (pimped)Aina gani huyu mnyama?
Ooh kumbe nawe wavijua hivi vitu? One day yes ntakutembelea na KTM 1290 Super Adventure R tukazurure maporiniBima hizo nzurii. Hata barabarani watakuheshimu[emoji23] hizi boxer zetu dereva wa daladala anakuchezea rough huyo na anajua kabisa body ni mwili wako. Ila kwa BMW hawezii