rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Napenda sana hizi za single seat, kipisiDude lenye uwezo mkubwa cc 1000!View attachment 1993804
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda sana hizi za single seat, kipisiDude lenye uwezo mkubwa cc 1000!View attachment 1993804
Cc 150 hata kama sio hiyo kampuni naomba picha za muonekano huo
Kwenye kupeana maelezo tutambue kwenye hizi pikipiki zipo kama magari kuna ya sports,za mjini na biashara,safari ndefu na off road kwenye kufanya maamuzi bora utambue iloDuniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.
Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.
Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.
Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...
View attachment 1992900View attachment 1992901View attachment 1992902View attachment 1992903View attachment 1992904View attachment 1992905
Huyu ni tapeli waziwazi kwa kuangalia tu account yake!Imetulia sana halafu imeuzwa bei ya kuku [emoji16]View attachment 2021413
"itabidi mpaka ipate watu wake"[emoji3]Kuna kesi ilikuwahi kumkumba jamaa mmoja jirani, wanaishi nyumba ya kupanga na wapo wapangaji kama saba hivi wenye pikipiki na zote zinalala sebuleni.
Katika pikipiki hizo zote zilikuwa ndogo (fekon, Huoniao na Boxer) kasoro jamaa alikuwa na chuma kama hicho pichani.
Usiku mmoja wakaingia wezi wakapuliza madawa yao ya usingizi na kuchukua pikipiki zote ndogo ila XR wakaiacha!
Walioibiwa hawakuelewa wakajua ni mchongo wa jamaa hivyo akawekwa ndani, aliulizwa kwa nini pikipiki yake ilikuwa ndiyo ya kwanza kabisa karibu na mlangoni lakini imesogezwa vema kabisa na kuwekwa pembeni na zikachukuliwa nyingine?
Jamaa akajibu, itakuwa wezi walijua hizi nyingine kuziuza ni fasta na hata wakisema wauze spare ni mara moja, lakini wakiichukua hii machine itabidi mpaka ipate watu wake hivyo biashara itachelewa, lakini pia hizi ziko chache hivyo ni rahisi kuonekana hata ukiiuza wapi.
Jamaa akashinda akaachiwa [emoji2] View attachment 2022234