Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

1. Moyo na mzunguko wa damu
Wakati misuli inahitaji damu nyingi wakati wa kupanda au kukimbia, kama mzunguko haufiki vizuri unaweza kuchoka ghafla, kuona giza, na jasho.

2. Misuli na mishipa
Hali ya misuli kuchoka na kuganda ghafla inaweza kuhusiana na jinsi misuli inavyotumia nguvu.

3. Sukari, maji, na elektrolaiti mwilini
Upungufu wa maji, sukari kushuka, au upungufu wa chumvi muhimu mwilini huweza kuleta kizunguzungu, jasho, na tumbo kuvuruga.

4. Damu na kinga
Upungufu wa damu au hali nyingine huweza kufanya uchoke haraka sana hata kwa mwinuko mdogo.

Tafadhali usiendelee kulazimisha mazoezi mazito hadi uonane na mtaalamu.
 
Pole sana kaka.
Hebu fanya uende Dodoma Benjamini hapo au Muhimbili....

Kama ungeweza kupata appointment ingesaidia.
Afya yako ndio mtaji wa kwanza. Miaka mi 5 ni mingi sana kuugulia kwa kijana kama wewe...
Ahsante sana mkuu naona wengi wameniahauri niende Benjamin Mkapa ,itabidi nifanye mpango nisogee hapo Dodoma
 
1. Moyo na mzunguko wa damu
Wakati misuli inahitaji damu nyingi wakati wa kupanda au kukimbia, kama mzunguko haufiki vizuri unaweza kuchoka ghafla, kuona giza, na jasho.

2. Misuli na mishipa
Hali ya misuli kuchoka na kuganda ghafla inaweza kuhusiana na jinsi misuli inavyotumia nguvu.

3. Sukari, maji, na elektrolaiti mwilini
Upungufu wa maji, sukari kushuka, au upungufu wa chumvi muhimu mwilini huweza kuleta kizunguzungu, jasho, na tumbo kuvuruga.

4. Damu na kinga
Upungufu wa damu au hali nyingine huweza kufanya uchoke haraka sana hata kwa mwinuko mdogo.

Tafadhali usiendelee kulazimisha mazoezi mazito hadi uonane na mtaalamu.
Ahante sana mkuu
 
Mkuu
Kwanza, Pole sana Kwa changamoto unayopitia.
Pili, ni kweli madaktari wanavyosema, yawezekana kisiwe na uhusiano wa moja Kwa moja kati ya dalili unazozpitia na ule upasuaji uliofanyiwa.
Tatu, mafua yasiyokoma inawezekana ni ALLERGIC RHINITIS.
Nne, hzo dalili zote zinaashiria changamoto kwenye moyo au mapafu. Ningewaza Rheumatic heart disease Kwa umri huo.

Hvyo...
Ningkushauri ufike hospital kubwa Kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Karibu hospital ya rufaa ya Kanda ya Mbeya Kwa uchunguzi zaidi.
 
Oh ahsante sana mkuu hapa nishaanza mipango ya kwenda hospitali kubwa kabla mwezi huu haujaisha 🙏
 
Anza kufanya vipimo vya moyo na mapafu yako +mfumo wa upumuaji(mapafu,bronch) utakuja na mrejesho hapa. ila usiwe na shaka hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Vipi kuhusu haja ndogo yaani mkojo mkuu. Na unakula vyakula vyenye vitamin B ya kutosha sana sana vitamin B12
Kuhusu mkojo sina shida kabisa ,kuhusu vyakula najitahidi sana kula mlo kamili
 
Back
Top Bottom