Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Tofautisha kati ya ukweli na uadui kcamp . Sababu kitu kimefanywa na mwanamke sio lazima wanawake wote wakikubali haswa kinapokua na mapungufu.
Victoire ametoa maoni yake kama mwanamke anayejua MAANA na TOFAUTI kati ya USAWA na UWEZO kwenye mambo yahusuyo jinsia
 
Maelezo niliyoyaona kua wameuA tiketi za elfu 50 kwa watu elfu 2 ukipiga heaabu ni milioni 100 si haba.
 
Nakiri kukwambia HONGERA Sana kwa uchambuzi wako huo....daaah yaani ww dada sijui nikusifu vipi.....ur superpub and exquisite πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Much congrats to WCB...Zuchu is talented and amazing,wish her prosperity aaamen aaamen🀲🀲🀲

Ngojea niendelee kuinjoi show humu ndani same niliyoinjoi Jana...
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…