Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
TRA wanakata ngapi?Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA wanakata ngapi?Kwa hesabu aliyotoa Diamond waliingia watu 2000 ukizidisha kwa 1,000,000 hesabu inasoma bilion 2.
Hiyo picha uliyoweka inathibitisha roho yako ilivyojaa chuki na wivu wakikeTathmini ya hovyo kuwahi kutokea!
Lugha mbovu ajabu ya kibwengo.
Msiwe nakimbia umande.
ONYESHA SASA KODI ILIYOLIPWA YAANI VAT.
Hiv hizo chuki zako kwa WCB unapata faida gani?una pata benzi au nyumba ya kifahari?
Huyo ni malaya fulani...Bila shaka utakuwa mfuasi wa Mbowe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]Akifiwa halii ila anamlilia zuchu
Mama yako ni wa kiume? Tupe tathmini ya wivu wake.Hiyo picha uliyoweka inathibitisha roho yako ilivyojaa chuki na wivu wakike
Tofautisha kati ya ukweli na uadui kcamp . Sababu kitu kimefanywa na mwanamke sio lazima wanawake wote wakikubali haswa kinapokua na mapungufu.Dah ..kwel adui wa wanawake ni wanawake wenyew [emoji16]
Hivi lini mtaanza kupendana ? Ile show we unaona ni yakiwaki? Tena mtu hana experience...Hebu madem mjifunze ku appreciate...Ile show zuchu kafanya poa sana...Mtu kafanya gestures zote, dancing..moves hadi kwa audience , comfortable still unasema hajatawala jukwa....? Uzur show ipo YouTube wala haiitaji hype..
Hawa wajinga sana tumelipa hela mwisho wa siku burudani tunaipata kutoka kwa Hadija kopa na Jd halafu wanaisifu show
Tatizo lako ni kuwa karibu na kiba akakuuza kwa Mr.Moyo kule MombasaMama yako ni wa kiume? Tupe tathmini ya wivu wake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tatizo lako ni kuwa karibu na kiba akakuuza kwa Mr.Moyo kule Mombasa
👏👏👏👏👏Kwanza niwape pongezi Sana Wasafi namna walivyopamba ukumbi ulikuwa very nice na pia setting up ya jukwaa ilikuwa zuri Sana ikiwemo graphics zilizotumika on scene wakati msanii anaperfomance ilikuwa Ni fire Sana.WCB wanajua how to brand msanii na hii ndio tofauti yao na wasanii wengine I believe after hiyo show itapandisha value ya Zuchu Mara dufu.
Perfomance
Performance ya mboso dah was amazing kwa kweli amefanya wonders performance na ana deserve zile hela nyingi alizotuzwa.I think mbosso ndio msanii aliyetunzwa hela nyingi Sana.
Combination performance ya mboso & Zuchu
Moja Kati ya performance iliyonikosha kweli kweli nilipenda chemistry walionayo.
Combination ya Zuchu & Jide commando
Kumekuwa namsemo kwamba wanawake wanachukiana Sana lakini ushirikiano wa Jide na zuchu unaweza kutengeneza kitu kwenye Huu mziki.Walifanya something special as if Kama walikuwa na ngoma ya pamoja hapo kabla.Honestly nimependa Sana performance yao ya pamoja kiasi ambacho mashabiki wakataka warudie kuperform Mara 3.
Performance ya Zuchu
Kwanza kabisa ana confidence yake kaperform as if ana muda mrefu kwenye game I did like dress code yake ila nimependa zaidi performance ya wimbo wake wa "Nisamehe" nimependa alivyo calm na hisia kubwa aliyotumia Kama wimbo ulivyo, ukichanganya na voice yake ilivyo mzuri you get something good.Pia ametuonesha uwezo wake pia wa kudance huku aliimba kwa baadhi ya wimbo zake was amazing.
Combination ya mama yake na Zuchu
Waliua Sana aisee mama na mtoto.
performance ya Lavalava
Katika show zake zote za Lavalava hii ndio best show kuliko zote nilizowahi kuona kutoka kwake mzee aliua.
Ushauri wangu kwa baadhi ya udhaifu
Kuna watu wengi walibaki nje ambao walikosa tickets Wasafi wangejitahidi kuweka scene kubwa nje ya Ukumbi walau waone Nini kinajili ndani kuliko walivyowaacha.
La pili hili Ni moja Kati ya tatizo kubwa la watanzania wengi na nilichoona Jana watu kutokuja kwenye tukio kwenye muda uliopangwa watu hawapendi kuzingatia muda wasafi walipanga tukio nzima lianze saa 1 usiku Cha ajabu hata Diamond mwenyewe na Zuchu walikuja saa 2 usiku badala ya saa 1 usiku.