Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Janja janja...mitiketi ya VIP imetolewa bure..Kigagula babu Tale yuko busy na kura za maoni
 
Hakuna incentives kwa mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie, kimsingi unakusudia wanawake watende ubaguzi wa kijinsia

ongelea kuungana mkono kifalsafa utakua sahihi.

Kama "kavu" ni tusi basi mwenyewe!
Na aliekwambia kuna incentives kumchukia mtu nani? Kama mb64 ni tusi basi naww kichwa chako mb64
 
Na aliekwambia kuna incentives kumchukia mtu nani? Kama mb64 ni tusi basi naww kichwa chako mb64
Iko hivi hao wamama hawajachukiwa na wamama wenzao bali hawajaungwa mkono tu.

Naamini umenielewa sasa
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
😲😲😲😲😲
 
Sure pal.....wanawake na mambo Yao....
Dah ..kwel adui wa wanawake ni wanawake wenyew [emoji16]

Hivi lini mtaanza kupendana ? Ile show we unaona ni yakiwaki? Tena mtu hana experience...Hebu madem mjifunze ku appreciate...Ile show zuchu kafanya poa sana...Mtu kafanya gestures zote, dancing..moves hadi kwa audience , comfortable still unasema hajatawala jukwa....? Uzur show ipo YouTube wala haiitaji hype..
 
Kiujumla nilichokiona wengi humu mnafikili tunaopinga hizo takwimu tuna chuki na wcb ila kiujumla hiyo takwimu aliyoitoa kiuhalisia haipo hivyo tukubali kukosolewa kwa sababu jamaa ameikuza sana wakati tuliokuwemo ukumbini tumeona mambo mengi kama msifiwa sauti kukatika
 
Back
Top Bottom