kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Yes mkuu hapa wanaodiss ni wale team kiba...angalia anaediss kisha kaangalie post zake unakuta ni Hater mzur wa wcbJapokuwa jana sikuiona show ila kupitia comment hizi nimegumdua wanao iponda show ya Zuchu ni walewale wanaiponda WCB na Diamond humu JF kila siku,so bila shaka show ya jana ilikuwa nzuri.