Yes mkuu hapa wanaodiss ni wale team kiba...angalia anaediss kisha kaangalie post zake unakuta ni Hater mzur wa wcbJapokuwa jana sikuiona show ila kupitia comment hizi nimegumdua wanao iponda show ya Zuchu ni walewale wanaiponda WCB na Diamond humu JF kila siku,so bila shaka show ya jana ilikuwa nzuri.
Na aliekwambia kuna incentives kumchukia mtu nani? Kama mb64 ni tusi basi naww kichwa chako mb64Hakuna incentives kwa mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie, kimsingi unakusudia wanawake watende ubaguzi wa kijinsia
ongelea kuungana mkono kifalsafa utakua sahihi.
Kama "kavu" ni tusi basi mwenyewe!
Iko hivi hao wamama hawajachukiwa na wamama wenzao bali hawajaungwa mkono tu.Na aliekwambia kuna incentives kumchukia mtu nani? Kama mb64 ni tusi basi naww kichwa chako mb64
πππHuyo mwenyewe kahadithiwa tu inawezekana hakuwepo hata hapo ukumbini
π²π²π²π²π²Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
πππShow ya jana alitisha sana... Saut unayoiskia akiwa studio ndio ile ile kweny live...
Kutoungwa mkono kuna sababu nyingi..chuki nayo hufanya watu wasikuunge mkono hata kwa mazur...nafkr pia tumeelewanaIko hivi hao wamama hawajachukiwa na wamama wenzao bali hawajaungwa mkono tu.
Naamini umenielewa sasa
Dah ..kwel adui wa wanawake ni wanawake wenyew [emoji16]
Hivi lini mtaanza kupendana ? Ile show we unaona ni yakiwaki? Tena mtu hana experience...Hebu madem mjifunze ku appreciate...Ile show zuchu kafanya poa sana...Mtu kafanya gestures zote, dancing..moves hadi kwa audience , comfortable still unasema hajatawala jukwa....? Uzur show ipo YouTube wala haiitaji hype..
Nani huyo ?Sina mtoto anavaa heleni.Samahani yule mwanao ulie sema ana vaa heleni kama sh0ga. ana hali gani saivi
ππMzee mbona una chuki sana
ππZuchu hamna kitu pale
Kwaiyo unataka kusema show ilinoga YouTube na sio ukumbin au[emoji3]Tofautisha mtu aliyekuwepo ukumbini na aliyeona kwenye tv nani anaweza kufanya takwimu bora
LoooohππKwaiyo unataka kusema show ilinoga YouTube na sio ukumbin au[emoji3]
Mkuu hiyo AVATAR hapo juu ni wewe mwenyewe?!!ππZUCHU ANA SURA NZITO SANA JAMANI. YAANI KILA NIKIMUANGALIA NAPATA KICHEFUCHEFU. MSURA MZITO KAMA UJI WA TOGWA.
Zengwe mkuuNaona Comment yako ulini quote ukisema Wcb/wasanii wanaharibu maadili ya kizazi hiki,Modes wameifuta sijui ilikua ina shida gani ile.