Mamita upooooZuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?
Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!
Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Duuuu! Wasafi kusign msanii wanaangalia dini?Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Kwanini bongo watu wakiona mapungufu kwa wengine wanaambiwa wana wivu au chuki?Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Ile performance ya Zuchu Na Jide... niliwaza ingekuwa Jide na Ruby ingekuwa ni moto wa kuotea mbali. Natamani itokee hawa watu wawili wa perform jukwaa mojaChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Kwa hesabu ya haraka haraka kama kiingilio cha wastani kilikua mil.1 basi haina shaka show ya Zuchu imeingiza kiasi cha Tsh Bil.2
Mechi ya Simba na Yanga mapato yao makubwa kuwahi kutokea nazani si zaidi ya mil.600. Sijui watu wa Football tunafeli wapi?
Usilazimishe mtu akubaliane na mawazo yako, kama wewe uliona zuchu kaperfom vizuri basi ni wewe!Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Jana yenyewe nilitamani Ruby awepo,naona waliogopa atamfunika Zuchu.Ile performance ya Zuchu Na Jide... niliwaza ingekuwa Jide na Ruby ingekuwa ni moto wa kuotea mbali. Natamani itokee hawa watu wawili wa perform jukwaa moja
Hasa msitari wa pili na wa mwisho ama nini mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Comment imeniumiza moyo hii mpaka sio vizuri
Umemaliza kila kituChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Mboso ni hatari nimeona show amepiga sebene la haja,jamaa anakipaji sana atafika mbaliMkuu Nifah usikatishwe tamaa haujaongea uongo kila mtu ameona show....Zuchu amejitahidi lakini bado anahitaji kujifunza kutoka kwa show za kina Jide Na Mboso! Kifupi kama ni mdau wa muziki tukiacha ushabiki ni kwamba Zuchu amejitahidi lakini haikuwa show kali kutoka kwake nafikiri bado swala la kuimba live na kuwaamsha mashabiki abahitaji kufunzwa!
To be frankly show yake ilitekwa na Mbosso
Zuchu ni sandra Mama dangotewakuu zuchu ndo huyo huyo queen darlin?
au ni tofauti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu Ni Qeen Darlin aliechangamka.
Full Stop sitaki arguments.