Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Zuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?

Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!

Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Mamita upoooo
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Duuuu! Wasafi kusign msanii wanaangalia dini?
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Ile performance ya Zuchu Na Jide... niliwaza ingekuwa Jide na Ruby ingekuwa ni moto wa kuotea mbali. Natamani itokee hawa watu wawili wa perform jukwaa moja
 
Khaa Shishi jaman... ila ame improve, atakuwa anapendaga kusikiliza zile inspiration clips za kizungu.
 
😂😂😂😂😂 shishi maconfidence
 
Kingereza hakimkataagi mlevi yeyote.
Atakipatia tu japo kwa kudaka daka hivyo ndivyo wenye lugha yao hupenda kusikia na hufurahisha sana.
 
Kwa hesabu ya haraka haraka kama kiingilio cha wastani kilikua mil.1 basi haina shaka show ya Zuchu imeingiza kiasi cha Tsh Bil.2
Mechi ya Simba na Yanga mapato yao makubwa kuwahi kutokea nazani si zaidi ya mil.600. Sijui watu wa Football tunafeli wapi?

Kwenye Tickets hapana kwa kweli sio kweli kulikuwa na Tickets za mbawa za kumwagaaaa labda uchanganye na matangazo ya Live waliingia zaidi ya watu 25k hapo pesa ilikuwepo
 
Ile performance ya Zuchu Na Jide... niliwaza ingekuwa Jide na Ruby ingekuwa ni moto wa kuotea mbali. Natamani itokee hawa watu wawili wa perform jukwaa moja
Jana yenyewe nilitamani Ruby awepo,naona waliogopa atamfunika Zuchu.
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Umemaliza kila kitu

Upo sahihi.

Dini yake Ruby ndio tatizo
 
Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.

Mkuuu kabla hujaandika jiulize maswali mwenyewe,Aliyesainiwa Wasafi ndo anakipaji kuliko amabaye hajasainiwa...yule ni Ruby na huyu ni Zuchu.
 
Mkuu Nifah usikatishwe tamaa haujaongea uongo kila mtu ameona show....Zuchu amejitahidi lakini bado anahitaji kujifunza kutoka kwa show za kina Jide Na Mboso! Kifupi kama ni mdau wa muziki tukiacha ushabiki ni kwamba Zuchu amejitahidi lakini haikuwa show kali kutoka kwake nafikiri bado swala la kuimba live na kuwaamsha mashabiki abahitaji kufunzwa!

To be frankly show yake ilitekwa na Mbosso
Mboso ni hatari nimeona show amepiga sebene la haja,jamaa anakipaji sana atafika mbali
 
Back
Top Bottom