Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache aseme ukwel mbona unamziba mdomoMzee mbona una chuki sana
Ana maanisha vifijo na vigeregere vya wanaccm alipokuwa anawaburudisha kwenye majukwaa Zuchu akaamini ashakuwa bonge la MC(mwanamuziki) sasa alivyoandaa tamasha la shukrani ndio akaumbuka ,wadau wanasema show utafikiri ilikuwa ya Mboso na yeye alikuwa kama anarukaruka anafanya mazoezi ya jogging.Anamaanisha nini huyu nae!!?
Chuki au katoa mtazamo wake mkuu??Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Mwanamke akimkosoa mwanamke mwenzie haimaanishi anamchukia.Dah ..kwel adui wa wanawake ni wanawake wenyew [emoji16?
Hivi lini mtaanza kupendana ? Ile show we unaona ni yakiwaki? Tena mtu hana experience...Hebu madem mjifunze ku appreciate...Ile show zuchu kafanya poa sana...Mtu kafanya gestures zote, dancing..moves hadi kwa audience , comfortable still unasema hajatawala jukwa....? Uzur show ipo YouTube wala haiitaji hype..
Fatilia comment za huyo jamaa ndo utamjua ana ongozwa na chuki au anachokiongea kina ukweli?
We ulisikia wapi. We ulisikia wapiiMungu akitaka kukupa hakuandikii barua
Tukisema ukweli tunaambiwa wivu. Yani tusifie tu hata utopolo?
Makabila, Jide, Mbosso na bi Khadija uwepo wenu ume
Chuchu hamna kitu. Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Wao kukosoa ni habits...hebu soma hyo comment unaona imejaa chuki tupu...na hii yote ni team.. huyo manzi hapo juu ni team kiba hakuna asie lijua. Sasa unafkr show ya zuchu atasifia?..ukosoe panapo kosoleka..panaposifika sifia..Mwanamke akimkosoa mwanamke mwenzie haimaanishi anamchukia.
Unataka amsifie tu kwasababu ni mwanamke mwenzie hata kama yeye ameona aneboronga?
Bora mtu atoe constructive criticism kuliko asifie tu ilimradi.
Samahani yule mwanao ulie sema ana vaa heleni kama sh0ga. ana hali gani saiviChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Hamia Mlimani City kunazo hela. 🏃🏾🏃🏾🏃🏾Aisee, mbona huku kitaa maisha magumu sana?