Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Habari wakuu .

Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.

Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).


Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.

Kunywa mkojo robo kikombe kila Ahsubui kabla ya kula kitu chochote .

Sasa Ngozi yangu imekuwa na Nuru Sana, maumivu ya kichwa yamepotea.


Urine therapy
Tiba ya mkojo ni tiba nzuri sana.


Huu ndo ushuhuda.
 
Back
Top Bottom