Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Hii naweza kuamini kuna ushuhuda mdogo ulitokea mwaka 2023 nilikua nimeandamwa na madeni mengi sana pia biashara ilikua haiko poa nikajitafuta kwa mtaalam wa kienyeji basi nilipokua kule nilipigwa mitishamba kisha kuna dawa ilichanganywa na maziwa pia nikaambiwa nikojolee kisha na kunywa nikafanya hivo baada ya siku 3 mambo yaanza kuwa mepesi.
Hakika.
 
Mimi nilikunywa mkojo nilipong'atwa na nyoka na ulinisaidia na kuweza kupona japo nilichanganya na dawa zingine za kienyeji
 
hii kitu ndo naiskia mara ya kwanza!! na bado sijaamini na swezi kuulizia mtu yyte ntachekwa buree!! mods huu ni upotoshaji naagiza Uzi ufutwe haraka sana!!
 
Hii tiba imetumika sana tu ila haipewi tija. Inatibu mpaka vidonda kichwani, upele, unaogeshwa mkojo. Pia hutumika kama onyo kwa watoto watundu na watukutu wasiotii wazazi wao, ukimuambia mtoto ukifanya kosa hili nitakunywesha mkojo lazima mtoto atatii amri, maana mkojo ni mchungu na hauna ladha nzuri, ukute mkojo wenyewe umevundikwa siku nyingi. Ila siku hizi ni kama hautumiki sana kutokana na maendeleo ya tiba na maradhi ya maambukizi yamekuwa mengi haifai tena kuogeshwa au kunyweshwa mkojo wa mtu mwingine
Inatumika kwa magonjwa yaliyoshindikana hospital, ni muhimu kupima mkojo na kupata matibabu
mkojo kiboko ni wa watu wazima, wa watoto si mzito
Wakubwa kama mlevi au mtu wa ngono zembe inakua changamoto
 
Sijakataa , umesoma nilichouliza lakini?
Wakati unasubiri akujibu, ngoja nichangie kidogo. Ukizingatia composition ya mkojo kwamba ni takamwili, Taka mwili ni pamoja na visivyotakiwa kuendelea kuwepo mwilini mwako (microbes, excess salts/minerals n.k) kwani kuendelea kuwepo mwilini kunasababisha madhara mwilini.
Kwa mantiki hiyo kutumia mkojo kama mojawapo ya tiba haikatazwi bali unatakiwa pia uwe na Tahadhari au uwe mwangalifu.
Usinywe mkojo tu eti kwa sababu walisema ni dawa na eti hata huko USA wanatumia. Kwa mfano uko kwenye dozi e.g. dawa za hospitali au Tiba asili sio vizuri ukatumia mkojo wako kwani utakuwa una recycle takamwili(Sumu) zitokanazo na dawa unazotumia. Halafu pia jiridhishe kwamba huna maambukizo mengine e.g UTI, STD, n.k.
Ni hayo tu.
 
Hii ni world wide therapy.
Huyo unayemjibu anashangaza sana. Badala ya kuutafuta ukweli anakimbilia eti kwa kuwa ndo mara ya kwanza kusikia yeye hajui jambo hilo anawaagiza Mods waufute tena haraka sana. Anadhani mods ni wahemukaji kama yeye.
 
Huyo unayemjibu anashangaza sana. Badala ya kuutafuta ukweli anakimbilia eti kwa kuwa ndo mara ya kwanza kusikia yeye hajui jambo hilo anawaagiza Mods waufute tena haraka sana. Anadhani mods ni wahemukaji kama yeye.
😁😁😁 hakika kutokuelewa mambo ni Mbaya sana
 
Back
Top Bottom