Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ingia YouTube andika urine therapy utazipata shuhuda japo zipo kwa kimomboDuuh...mbona hatari...huko juu nmeona wanasema inatibu ulcers...ila ushuhuda ndo hakuna
HakikaMkuu ingia YouTube andika urine therapy utazipata shuhuda japo zipo kwa kimombo
Watu hawapo tayari kuulizwa wala kusikiliza hoja mbadalaUjuaji upo wapi hapo ?
Waswahili mna matatizo Sana ya uelewa.Una hakika ulikuwa unakunywa maji ya kutosha kwa siku?
Hapa sio sehemu ya kutafuta sifaSipati picha nikiuchanganya na smart gin au double kick, hii itatibu hadi cancer
Sifa za JF zinaweza niongezea nini maishani?Hapa sio sehemu ya kutafuta sifa
Ni ujinga tu mtu ndio maana hata viongozi wetu ukiwahoji wanakuteka .Watu hawapo tayari kuulizwa wala kusikiliza hoja mbadala
😁😁😁akili ndogo Sana wewe
Hivi Unamkumbuka Mama Terry?😁😁😁akili ndogo Sana wewe
mkojo wa asubuh mkuu ule wa kwanza unatafuta kikombe chako unakojoa robo kikombe afu unanuia kw iman yako baada ya hapo una kunyw kw mda wa siku sabaKatika kitawile unatumiaje ?
Tuelekeze basi na wewe tuachane na hizi UTI tunazokunywa kila siku asubuhiHata maji ya chumvi yanaweza tibu kipanda uso , kumbuka pia mkojo una chumvi chumvi hivyo ungejua tiba ya maji ya chumvi hasa ya mawe wala usingekua na sababu ya kunywa mkojo😆
Nikueleze nini tena?Tuelekeze basi na wewe tuachane na hizi UTI tunazokunywa kila siku asubuhi
Kwa nini wamarekani?!Mkojo ni tiba ipo worldwide hata wamarekani wanatumia sana. Inatibu magonjwa mengi ikiwamo vidonda vya tumbo