Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Exactly yes. Na ni mbaya zaidi inapokuwa tena mtu huyo haelewi na hakubali kwamba hajui.😁😁😁 hakika kutokuelewa mambo ni Mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly yes. Na ni mbaya zaidi inapokuwa tena mtu huyo haelewi na hakubali kwamba hajui.😁😁😁 hakika kutokuelewa mambo ni Mbaya sana
Hakika.Exactly yes. Na ni mbaya zaidi inapokuwa tena mtu huyo haelewi na hakubali kwamba hajui.
Shida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (kifutu) imenisaidia na mpaka sasa nipo haihii kitu ndo naiskia mara ya kwanza!! na bado sijaamini na swezi kuulizia mtu yyte ntachekwa buree!! mods huu ni upotoshaji naagiza Uzi ufutwe haraka sana!!
HakikaShida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (kifutu) imenisaidia na mpaka sasa nipo hai
Vitu vingi tu ni dawa ila kujua side effects zake na kuzipima uzito wake ni muhimu pia.Shida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (kifutu) imenisaidia na mpaka sasa nipo hai
Yeah hapo nimekusoma sna.Wakati unasubiri akujibu, ngoja nichangie kidogo. Ukizingatia composition ya mkojo kwamba ni takamwili, Taka mwili ni pamoja na visivyotakiwa kuendelea kuwepo mwilini mwako (microbes, excess salts/minerals n.k) kwani kuendelea kuwepo mwilini kunasababisha madhara mwilini.
Kwa mantiki hiyo kutumia mkojo kama mojawapo ya tiba haikatazwi bali unatakiwa pia uwe na Tahadhari au uwe mwangalifu.
Usinywe mkojo tu eti kwa sababu walisema ni dawa na eti hata huko USA wanatumia. Kwa mfano uko kwenye dozi e.g. dawa za hospitali au Tiba asili sio vizuri ukatumia mkojo wako kwani utakuwa una recycle takamwili(Sumu) zitokanazo na dawa unazotumia. Halafu pia jiridhishe kwamba huna maambukizo mengine e.g UTI, STD, n.k.
Ni hayo tu.
Na wewe pia binti wa zile nyuzi zetu pendwa😁Heri ya mwaka mpya
Samahani ni ushauri wa kitaalamu au? Nataka kujaribu 😖Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).
Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.
Kunywa mkojo robo kikombe kila Ahsubui kabla ya kula kitu chochote .
Sasa Ngozi yangu imekuwa na Nuru Sana, maumivu ya kichwa yamepotea.
Urine therapy
Tiba ya mkojo ni tiba nzuri sana.
Hii ni aina ya matibabu inayojulikana kama isopathy. Mkojo ni mkusanyiko wa bidhaa za kimetaboliki zinazochujwa na figo katika jitihada za kuweka usawa wa asidi, usawa wa madini na usawa wa vitamini na upand wa damu katika usawa. Ikiwa vitamini B inazunguka katika mwili itaondolewa na figo kwenye mkojo.Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).
Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.
Kunywa mkojo robo kikombe kila Ahsubui kabla ya kula kitu chochote .
Sasa Ngozi yangu imekuwa na Nuru Sana, maumivu ya kichwa yamepotea.
Urine therapy
Tiba ya mkojo ni tiba nzuri sana.
Huu ndo ushuhuda.
Mungu ni mwema AminaNa wewe pia binti wa zile nyuzi zetu pendwa😁
Upo sawa kabisa, japo mimi naogopa dawa za hospital kuliko za kienyeji japo sizijui dawa za kienyeji hataYeah hapo nimekusoma sna.
Mzee unaelewa mchakato wa kutengenezwa hadi kuwa mkojo?, Kama hatua ambayo mkojo unakuwa umekamilika je ni mwishoni kabisa na unatoka kama taka. Yani mkojo ukiwa umekamilika tyr unatoka km takaWhat's the active ingredient inayoact kukutibu? Kama unatoka mwilini kwako why haujakutibu ukiwa ndani uje kukutibu ukitoka na kuurudisba? Keupe kekundu
UTI ipo toka zamanikwa zamani hakukuwa na UTI siku hizi uti ipo unaweza kuambukizwa
Mkojo si end-product ila by-productMzee unaelewa mchakato wa kutengenezwa hadi kuwa mkojo?, Kama hatua ambayo mkojo unakuwa umekamilika je ni mwishoni kabisa na unatoka kama taka. Yani mkojo ukiwa umekamilika tyr unatoka km taka