Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Hii naweza kuamini kuna ushuhuda mdogo ulitokea mwaka 2023 nilikua nimeandamwa na madeni mengi sana pia biashara ilikua haiko poa nikajitafuta kwa mtaalam wa kienyeji basi nilipokua kule nilipigwa mitishamba kisha kuna dawa ilichanganywa na maziwa pia nikaambiwa nikojolee kisha na kunywa nikafanya hivo baada ya siku 3 mambo yaanza kuwa mepesi.
 
Hii tiba imetumika sana tu ila haipewi tija. Inatibu mpaka vidonda kichwani, upele, unaogeshwa mkojo. Pia hutumika kama onyo kwa watoto watundu na watukutu wasiotii wazazi wao, ukimuambia mtoto ukifanya kosa hili nitakunywesha mkojo lazima mtoto atatii amri, maana mkojo ni mchungu na hauna ladha nzuri, ukute mkojo wenyewe umevundikwa siku nyingi. Ila siku hizi ni kama hautumiki sana kutokana na maendeleo ya tiba na maradhi ya maambukizi yamekuwa mengi haifai tena kuogeshwa au kunyweshwa mkojo wa mtu mwingine
 
Habari wakuu .

Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.

Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).

Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.

Kunywa mkojo robo kikombe kila Ahsubui kabla ya kula kitu chochote .

Sasa Ngozi yangu imekuwa na Nuru Sana, maumivu ya kichwa yamepotea.

Urine therapy
Tiba ya mkojo ni tiba nzuri sana.

Huu ndo ushuhuda.
Asante kwa kushare mkuu. Tusubiri wenye tatizo waje kufuata ushauri wako.
 
Hii tiba imetumika sana tu ila haipewi tija. Inatibu mpaka vidonda kichwani, upele, unaogeshwa mkojo. Pia hutumika kama onyo kwa watoto watundu na watukutu wasiotii wazazi wao, ukimuambia mtoto ukifanya kosa hili nitakunywesha mkojo lazima mtoto atatii amri, maana mkojo ni mchungu na hauna ladha nzuri, ukute mkojo wenyewe umevundikwa siku nyingi. Ila siku hizi ni kama hautumiki sana kutokana na maendeleo ya tiba na maradhi ya maambukizi yamekuwa mengi haifai tena kuogeshwa au kunyweshwa mkojo wa mtu mwingine
Kwani hii tiba ni ya kunywa mkojo wa mtu mwingine mkuu? Si atakuambukiza yutiai?
 
Hivi na maulevi yangu haya mkojo wa asubuhi naunywaje jamani. Acheni masihala basi dah

Ni lazima uwe mkojo wako mwenyewe ndio upone? Labda niwe nakunywa mkojo wa wife au wa mwanetu ambae yuko la pili
kunywa wa waifu, si upo kwenye sururu, au anakojoa choo cha ndani kwa ndani?
 
Habari wakuu .

Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.

Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).

Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.

Kunywa mkojo robo kikombe kila Ahsubui kabla ya kula kitu chochote .

Sasa Ngozi yangu imekuwa na Nuru Sana, maumivu ya kichwa yamepotea.

Urine therapy
Tiba ya mkojo ni tiba nzuri sana.

Huu ndo ushuhuda.
mkojo wa mnyama yupi au hata mkojo wa punda niombe ufafanuzi kidogo niutafute.
 
Back
Top Bottom