Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Unatumia je na uchanganyaji wake chumvi na maji
Hii mimi nilipewa tu na wamasai nilipata hiyo hali nikiwa huko kwao kwa kazi fulani tu, wakachukua chumvi ya mawe kama kijiko cha chakula , wakakoroga kwenye maji kama lita moja na nusu ya moto nikanywa kikombe kimoja nyingine wakatumia kunikanda nayo na kitambaa , hiyo hali ikaachia kabisa mpka leo.
 
Mkojo ni tiba ipo worldwide hata wamarekani wanatumia sana. Inatibu magonjwa mengi ikiwamo vidonda vya tumbo
Nimepona vidonda vya tumbo huu ni mwaka wa 22 nakula kila kitu kikali kichungu hata kichachu
Ushuhuda
 
Back
Top Bottom