HEBU TUZUNGUMZIE KUHUSU MATUMIZI YA MKOJO
Kumekuwa na shuhuda nyingi kuhusiana na tiba hii ya mkojo. Mkojo ni moja kati ya uchafu anaotoa mtu, hukusanywa kwenye kibofu na kupita kwenye mrija wa mkojo kwenda nje. Lakini wakati huo huo ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo hufanya kazi kadhaa kwa matumizi yake. Watu wengi wanaamini kuwa mkojo ni uchafu au najisi kwa wale ndugu zangu waislamu baada ya kutoka nje ya mwili, lakini baada ya miaka mingi ya utafiti, matokeo ya vitendo, naweza kusema hitimisho hili ni kwamba, mkojo wako, mkojo wangu, mkojo wetu sote sio chochote bali ni dawa yenye nguvu sana kutoka kwenye mwili wetu. Zifuatazo ni faida chache kati ya faida za kiroho na za kiafya kuhusiana na huu mkojo
FAIDA ZENYE NGUVU ZA KIROHO ZA MKOJO
1. Unaweza kuweka mkojo wako kwenye maji ya kuoga ya watoto wako kwa ajili ya ulinzi, kwamba kwa yeyote atakayetaka kuwadhuru basi atakutana na wewe kwanza na atakutana na chemtamakuni.
2. Unaweza kupigia deki mkojo wako nyumbani, kwa kuongea maji ili kuleta amani kati yako na Mpenzi wako.
3. Unaweza kusafisha mikono yako kwa mkojo wako, pindi unapokaribia kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemwamini.
4. Unaweza kuloweka kufuli yenye kwenye mkojo wako kisha ukaitupa kwenye barabara yenye ubize mwingi, mtu akiifungua kufuli hiyo basi maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri.
5. Unaweza kuosha uso wako na mkojo wa asubuhi kuondoa energy mbaya au kuinua hadhi (aura) yako na kuvutia baraka zako.
6. Unaweza kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuondoa mashambulizi yote ya kishirikina au laana juu ya maisha yako.
7. Unaweza kuloweka nyama kwenye mkojo wako na kuipika vizuri na kumpa Mpenzi wako ale, hii italeta amani katika mahusiano yako.
8. Unaweza kuchanganya mkojo wako na maziwa fresh kwa kupata ndoto za wazi.
9. Unaweza kuandika chochote unachotaka kwenye karatasi kisha ukaloweka kwenye mkojo wako kwa siku 3, ikaushe hiyo karatasi kisha uinguze yaani uichome, majivu yake yachanganyie kwenye lotion yako au mafuta yako ya kupakaa, hauwezi kunukia mkojo ila mambo mazuri yatakutokea.
10. Unaweza kunywa mchanganyiko wa mkojo wako kwa mimba zinazochelewa yaani kuchelewa kujifungua au kushika mimba.
11. Unaweza kuosha kidonda chako kwa mkojo ili kupona haraka.
12. Mkojo hutumika kujisafisha kiroho kuondoa energy mbaya unapooga mkojo wako wa asubuhi.
13. Kama una mtoto wako ni mbishi na mkaidi hasikii, hujui ufanye nini tena na umechoka, chukua mkojo wako wewe mama pikia kwenye yai moja yaani uchemshie kwenye yai, mpe mtoto ale na kisha unywe mkojo uliobakia. Fanya hivi mara 3.
14. Ikiwa una tatizo la kipesa au shida za kimaisha, tumia mkojo wa mama yako au mke wako kuoga, utakuwa huru na utaona njia zikifunguka kimiujiza
15. Tumia mkojo wako wa asubuhi kuosha uso wako, utashuhudia mengi mazuri kwa neema ya Mungu.
16. Ikiwa una tatizo la tumbo, kunywa mkojo wako wa asubuhi.
Credit: Maalim Hamad (facebook)