Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili
  1. Predict all cycles of abnormal protein mutation
  2. Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound
Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya kutibu kansa mda wa kuogopa umeshaisha

 
Kansa ina tiba sema tu ni biashara za Watu wazito duniani ndiyomaana ni kikwazo kuweka tiba halisi, Vladimir Putin alishatahadharisha ulimwengu ukae mkao wa kula muda wowote ataruhusu hizo dawa za kansa kuanza matibabu popote duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ile kinga yake ya mRNA haiko accurate
Tatizo la kansa protein wana-undergo constant mutation na hii inapelekea kuwa ngumu kutibu kwa njia za sasa
 
Zile ni siasa
Tufikiri nje ya sanduku gari tumezoea likizalisha nguvu kwa kutumia mlipuko wa mafuta na dunia imeaminishwa hivyo kuwa gari haliwezi kutumia maji kutembea ila si alitokea kijana akaonyesha walilosema wao walitaka wanufaike na hilo baada ya kuunda gari la maji au mnasahau .
 
Back
Top Bottom