Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ngoja kwanza tuone..Kama ni hivyo usimtoe mchezoni...
Mi mpaka aseme je kweli aliumwa au aliuguA
Ngoja kwanza tuone..Kama ni hivyo usimtoe mchezoni...
Mkuu hata ingekua wewe una mgonjwa lazima ustuke..😂😂😂😂 kwamba hii si kawaida
Toka ule upumbavu wake alioandikaga humu kwamba ni tajiri dunia nzima huwa niligundua huyo janja kuna kitu hakipo sawa kichwani .Ahahaha wanasema aliugua sana mambo ya utindio sijui ila akaja kupona gafla..
Bora ingekua ya kupona kidogo kidogo ila yeye alipona kwa kustukiza
Ahahaha atasema na wewe mnafiki sio mdaToka ule upumbavu wake alioandikaga humu kwamba ni tajiri dunia nzima huwa niligundua huyo janja kuna kitu hakipo sawa kichwani .
Lakini si alishasema ni Tajiri wa akili.Toka ule upumbavu wake alioandikaga humu kwamba ni tajiri dunia nzima huwa niligundua huyo janja kuna kitu hakipo sawa kichwani .
Ngoja tuone 😅😅Mkuu hata ingekua wewe una mgonjwa lazima ustuke..
Ngoja kwanza tuone..
Mi mpaka aseme je kweli aliumwa au aliuguA
Ukilikoroga linywe mwenyewe usiniite...Ngoja kwanza tuone..
Mi mpaka aseme je kweli aliumwa au aliuguA
Watu kama hawa ni wagonjwa wa akili ,huyu na deo kisandu wana tofauti gani?Lakini si alishasema ni Tajiri wa akili.
Maneno kama hayo kutoka wa wagonjwa wa akili nimeyazoea mkuu.Ahahaha atasema na wewe mnafiki sio mda
Deo kisandu simjui mkuu japo nasikia alikuwa mwanajf, unaweza kuweka uzi wake kwa faida.Watu kama hawa ni wagonjwa wa akili ,huyu na deo kisandu wana tofauti gani?
Sioni mkuu inawezekana kabadili I'd au tayari tunae huku mirembeDeo kisandu simjui mkuu japo nasikia alikuwa mwanajf, unaweza kuweka uzi wake kwa faida.
Kwann wanamuachia simu!? Apokonywe simu, akiwekwa mbali na mitandao hio ni Tiba pia kwa kiasi fulaniHuyu jamaa ni mgonjwa wa akili mwangalie vizuri hata mwonekano wake utagundua kitu
Siku hizi kuna matekno mpaka ya laki unalipia buku buku mwaka mzima unachukua tu ,hivyo sishangai akimiliki simu , kazi yangu nikuwatambua wagonjwa wa akili na kuwapa ushauri wa kuanza tiba.Kwann wanamuachia simu!? Apokonywe simu, akiwekwa mbali na mitandao hio ni Tiba pia kwa kiasi fulani
Hakuna mtu yeyote aliyewahi kupredict protein mutation hata kuwa tu nawazo kama langu na kulifanyia kaziHizi akili za kushikiwa na wester medias zitawafanya mzae wachina mseme genetic mutation.
We mjaluo mke mkurya tuamini ni genetic mutation ukileta machina!
Nlipata shida ya scrotal cyst it was to affect my ball, dock akasema nifanyiwe exploration and removal nkamwambia nope.
I went home nikatumia oregano leaves to chew within a week thwe swellings was gone and I can feel my ball.
Wanaouza mitishamba asilimia kubwa ni matapeliHizi akili za kushikiwa na wester medias zitawafanya mzae wachina mseme genetic mutation.
We mjaluo mke mkurya tuamini ni genetic mutation ukileta machina!
Nlipata shida ya scrotal cyst it was to affect my ball, dock akasema nifanyiwe exploration and removal nkamwambia nope.
I went home nikatumia oregano leaves to chew within a week thwe swellings was gone and I can feel my ball.
Sema uelekezwe hata ukimwi dawa IPO kansa ntakuelekeza but consistency ya kutumia herbs for that long unayo. Rafiki mmoja nlimtembelea tukaongozana kumuona jirani yake mwenye Cancer ila skujua ya nn , next week ilikuwa clinic yake akaja akashauriwa some herbs akasimamiwa kwa mwezi kurudi dk akashangaa viral load ikipungua aliuliza sana even walioenda na mgonjwa hawakujua it was that herb he used to take as tea morning and evening.
Dawa zipo hujaugua ukahangaika utashauriwa na utakutana nao wezi na matabibu.
Hao ni wachuuzi au wafanyabiashara, lini mfanyabiashara akawa mkweli, hata wa chakula anakudanganya...Wanaouza mitishamba asilimia kubwa ni matapeli
Nyie ni matapeli kama mngekua na dawa hospitali zimefungwaHao ni wachuuzi au wafanyabiashara, lini mfanyabiashara akawa mkweli, hata wa chakula anakudanganya...
Shuka kwa wazee vijijini utapata dawa Wala siyo uganga ni kula /kunywa mizizi/majani ...
Nimekupa ushuhuda wangu wa scrotal cyst amini au nenda hosi.Nyie ni matapeli kama mngekua na dawa hospitali zimefungwa
Kuna swali umeulizwa pharmacokinetics na pharmacodynamic unaijua ya hizo dawa