Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Elezea pharmacodynamic na pharmacokinetics ya hizo dawa mbona swali lipi straight forward kama ulivyoulizwaNimekupa ushuhuda wangu wa scrotal cyst amini au nenda hosi.
Mi siuzi dawa nimekutana nao , and kwangu majirani mwaka mzima huja kuomba hyo oregano sijui tunafeli wapi mtu hachukui hata kijiti kwenda kupanda, sijui dawa ya malaria ya hosi nk