Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Haina dawa na haizuii mawazo mapya ya nmna ya kuikabiliKansa Haina dawa
Kansa ina tiba sema tu ni biashara za Watu wazito duniani ndiyomaana ni kikwazo kuweka tiba halisi, Vladimir Putin alishatahadharisha ulimwengu ukae mkao wa kula muda wowote ataruhusu hizo dawa za kansa kuanza matibabu popote duniani.Kansa Haina dawa
Sio kosa lako haya mambo yapo juu ya uwezo wako kila nachoongea unaona kama ni kichinaWewe wakikuwahi mapema upelekwe mirembe mwaka tu unapona kabisa.
Ile kinga yake ya mRNA haiko accurateKansa ina tiba sema tu ni biashara za Watu wazito duniani ndiyomaana ni kikwazo kuweka tiba halisi, Vladimir Putin alishatahadharisha ulimwengu ukae mkao wa kula muda wowote ataruhusu hizo dawa za kansa kuanza matibabu popote duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kansa Haina dawa
Zile ni siasaAliesema Haina dawa Kansa si ndio juzi kasema kaleta chanjo ya virus vya corona au sasa alienda kutibu Nini tujaribu kufikir nje ya sanduku
Na mara zote vichaa huo ukiwaambia wanajibu hiv , ila kichaa chako kinaongelea kusadikaka tu , ili mradi usipige watu mawe tu.Sio kosa lako haya mambo yapo juu ya uwezo wako kila nachoongea unaona kama ni kichina
Huyu jamaa kwa siku anatoanyuzi. NgapiPoor Brain njoo njoo njoo, njoo chapu.
Kuna jmaa Kule jukwaa la mapishi alikua anasema ety we jamaa uliugua zaidi ya miezi nane non stop et... Hi ni kweli
Sijui mku, mimi nimekuita tujadili mada.Huyu jamaa kwa siku anatoanyuzi. Ngapi
Muda unaongea...Kuna jmaa Kule jukwaa la mapishi alikua anasema ety we jamaa uliugua zaidi ya miezi nane non stop et... Hi ni kweli
Tufikiri nje ya sanduku gari tumezoea likizalisha nguvu kwa kutumia mlipuko wa mafuta na dunia imeaminishwa hivyo kuwa gari haliwezi kutumia maji kutembea ila si alitokea kijana akaonyesha walilosema wao walitaka wanufaike na hilo baada ya kuunda gari la maji au mnasahau .Zile ni siasa
Huyu jamaa ni mgonjwa wa akili mwangalie vizuri hata mwonekano wake utagundua kituKuna jmaa Kule jukwaa la mapishi alikua anasema ety we jamaa uliugua zaidi ya miezi nane non stop et... Hi ni kweli