Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

Cancer inasababishwa na protein ambao wana-undergo mutation
Ukisema utengeneze dawa kupitia form hii ya cancer baada ya mda wanabadilika hapo unatubuje ndo maana inakua ngumu sana kutibu cancer
 
Whackiest
Hio technologies ya kinga ya urusi ya kutibu cancer imetumia ile ya mRNA ambayo ilitumika kwenye baadhi ya kinga za covid-19 ambayo moderna na Pfizer zile kinga zilifeli kwa sababu protein walikuwa wana-undego mutation na fahamu hata kwenye cancer protein wana-undergo mutation ndo ugumu ulipo
 
Sasa inakuaje hapo maan nimetoka kuona post ya urusi kuhusu chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…