TID ni hatari sana!

TID ni hatari sana!

Achana na hilo popoma mkuu,hata sijui unapata wapi muda wa kubishana nae.
Mtu anabisha kuwa TID hajui mziki si mwendawazimu huyo?
Nimem mind kinoma.
Ngoja nitulie aisee..Nahisi ukweli anaujua sema anataka kuchangamsha kijiwe tu
 
Nakafahamu kitambo na ndiyo maana nakuambia si mwanamuziki na pia hana wimbo wowote wa maana....mleteni maskani hapa arudie kula unga zaidi na kujichoma sindano.
Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
 
Una point bab. .kifo cha mangwea kilimpagawisha sn power bank TID kwani ndo kichwa alikuwa anakitegemea kimchoree mistari
Mkuu Tid kaanza kutengeneza hit song kabla hata hajawa karibu na Ngwair...Mi nadhani kwa sasa hili la madawa ndo linampoteza jamaa....

Last time nimemsikia Chid benz kwenye interview akaambiwa afreestyle akagoma kabisa...akaishia kuimba tu nyimbo yake..Hapo ndo nikaona madawa noma...Huyu chid benz aliyekuwa na uwezo wa kufreestyle Dar mpaka Moro leo anambwela hivi
 
Yaani huyu jamaa ni msanii ambaye alitakiwa awe na mafaniko makubwa tu .Sema ndio hivyo , namkubali sana jamaa anajua.
 
Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
Jamaa anajua sana huyu.
 
Mkuu Tid kaanza kutengeneza hit song kabla hata hajawa karibu na Ngwair...Mi nadhani kwa sasa hili la madawa ndo linampoteza jamaa....

Last time nimemsikia Chid benz kwenye interview akaambiwa afreestyle akagoma kabisa...akaishia kuimba tu nyimbo yake..Hapo ndo nikaona madawa noma...Huyu chid benz aliyekuwa na uwezo wa kufreestyle Dar mpaka Moro leo anambwela hivi
Hujaelewa. ..tid amefika kikomo cha kuandika ilikuwa ngwea amchoree kipindi wamejuana na kundi la wanyama. .yeye tid, ngwea na chim byter
 
Ok..Nimekusoma mkuu..Ndo mana nikasema ni vizuri amtafute mtu amchoree mistari zen afanye kitu kikubwa....Si unaona hata alivyopita kwenye chorus ya LIGI NDOGO..ameitendea haki japo Bill nass ndo alimwandikia
 
Huu mjadala umefanya nitamani kulia. .unga noma ila tid ni bad news. ..huyu mnyamwezi ana star look kipindi hiko hata hajatoka kimziki nakumbuka yupo o level akitokea sehem lazma utaratibu uvurugike. ..alikuwa ana swing dozen lake moja hilo dah. .akapata safari ya kwenda Birmingham alivyotoka kimziki. ..wabongo wa Birmingham walikoma maana hizo pozi the wacko jacko anasubiri
 
sure boy...Man,We are losing this boy...So sad aiseee....
inasikitisha na kukera kwa kweli,hatujui ni nini hasa kinachowavutia kwenye hayo manyunga,na wakati madhara yake yapo wazi kila kona!Mungu amfungue moyo na akili yake aise awache kbs hayo makitu,ili wapenzi wa good music tuendelee kuzikonga nyoyo.
 
Huu mjadala umefanya nitamani kulia. .unga noma ila tid ni bad news. ..huyu mnyamwezi ana star look kipindi hiko hata hajatoka kimziki nakumbuka yupo o level akitokea sehem lazma utaratibu uvurugike. ..alikuwa ana swing dozen lake moja hilo dah. .akapata safari ya kwenda Birmingham alivyotoka kimziki. ..wabongo wa Birmingham walikoma maana hizo pozi the wacko jacko anasubiri
MI nilitaman kulia Jana sauti ana kipaji, kinyama aaah uwiii
 
Back
Top Bottom