Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Na yai lake analitema kwa mbwembwe sana.Nimegundua anao uwezo mkubwa Sana wa kutema yai..
Huwa nikiangalia interviews za TID na yale majigambo yake namkumbuka rafiki yangu GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yai lake analitema kwa mbwembwe sana.Nimegundua anao uwezo mkubwa Sana wa kutema yai..
Ngoja nitulie aisee..Nahisi ukweli anaujua sema anataka kuchangamsha kijiwe tuAchana na hilo popoma mkuu,hata sijui unapata wapi muda wa kubishana nae.
Mtu anabisha kuwa TID hajui mziki si mwendawazimu huyo?
Nimem mind kinoma.
Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobarNakafahamu kitambo na ndiyo maana nakuambia si mwanamuziki na pia hana wimbo wowote wa maana....mleteni maskani hapa arudie kula unga zaidi na kujichoma sindano.
Mkuu Tid kaanza kutengeneza hit song kabla hata hajawa karibu na Ngwair...Mi nadhani kwa sasa hili la madawa ndo linampoteza jamaa....Una point bab. .kifo cha mangwea kilimpagawisha sn power bank TID kwani ndo kichwa alikuwa anakitegemea kimchoree mistari
Jamaa anajua sana huyu.Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
Hujaelewa. ..tid amefika kikomo cha kuandika ilikuwa ngwea amchoree kipindi wamejuana na kundi la wanyama. .yeye tid, ngwea na chim byterMkuu Tid kaanza kutengeneza hit song kabla hata hajawa karibu na Ngwair...Mi nadhani kwa sasa hili la madawa ndo linampoteza jamaa....
Last time nimemsikia Chid benz kwenye interview akaambiwa afreestyle akagoma kabisa...akaishia kuimba tu nyimbo yake..Hapo ndo nikaona madawa noma...Huyu chid benz aliyekuwa na uwezo wa kufreestyle Dar mpaka Moro leo anambwela hivi
Ok..Nimekusoma mkuu..Ndo mana nikasema ni vizuri amtafute mtu amchoree mistari zen afanye kitu kikubwa....Si unaona hata alivyopita kwenye chorus ya LIGI NDOGO..ameitendea haki japo Bill nass ndo alimwandikiaHujaelewa. ..tid amefika kikomo cha kuandika ilikuwa ngwea amchoree kipindi wamejuana na kundi la wanyama. .yeye tid, ngwea na chim byter
Hahaaha..jamaa sijui mhaya yule???Na yai lake analitema kwa mbwembwe sana.
Huwa nikiangalia interviews za TID na yale majigambo yake namkumbuka rafiki yangu GENTAMYCINE
Anajiita Mtusti wa Rwanda mkuu,anapenda sifa yule muhaya anasubiri.Hahaaha..jamaa sijui mhaya yule???
labda nyoka teja. sijawahi ona hiyo sauti nzuri wala kipaji.Sauti yake ina weza kumtoa nyoka pangoni
Sauti ya dhahabulabda nyoka teja. sijawahi ona hiyo sauti nzuri wala kipaji.
Endelea kusikiliza taarabulabda nyoka teja. sijawahi ona hiyo sauti nzuri wala kipaji.
yuko poa saaaaaaaaaaaaaaanaHana lolote, si mwanamuziki ila analazimisha tu. Mwongezeeni unga ale.
inasikitisha na kukera kwa kweli,hatujui ni nini hasa kinachowavutia kwenye hayo manyunga,na wakati madhara yake yapo wazi kila kona!Mungu amfungue moyo na akili yake aise awache kbs hayo makitu,ili wapenzi wa good music tuendelee kuzikonga nyoyo.sure boy...Man,We are losing this boy...So sad aiseee....
ana ngapi yule pusha we wacha tuuu... si kina shishi bebeNa yai lake analitema kwa mbwembwe sana.
Huwa nikiangalia interviews za TID na yale majigambo yake namkumbuka rafiki yangu GENTAMYCINE
msauti wa kukwaruza na wala hana pumzi. zeze aliimba utadhani anaongea.Sauti ya dhahabu
MI nilitaman kulia Jana sauti ana kipaji, kinyama aaah uwiiiHuu mjadala umefanya nitamani kulia. .unga noma ila tid ni bad news. ..huyu mnyamwezi ana star look kipindi hiko hata hajatoka kimziki nakumbuka yupo o level akitokea sehem lazma utaratibu uvurugike. ..alikuwa ana swing dozen lake moja hilo dah. .akapata safari ya kwenda Birmingham alivyotoka kimziki. ..wabongo wa Birmingham walikoma maana hizo pozi the wacko jacko anasubiri