Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

Nimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?
 
Tena afadhari ya tigo Airtel mm kila siku 2nagomban na shemej yenu txt akituma saa2 usiku inafika saa8 au siku zingin azifik baadhi ya txt.
 
Nimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?

Sio ya zamani, hii ndio mpya sasa...

Zamani walikuwa wanatandaza nyaya za copper (electrical) wakati sasa ni fiber (optical)...

Kwa nini fiber na sio njia nyingine, ni kwa sababu kwenye fiber unaweza ukasafirisha data nyingi kwa kasi zaidi...

Fikiria hivi, copper iwe ni Old Bagamoyo road, halafu fiber iwe ni barabara ya Kimara hadi Kibaha
 
Ubarikiwe sana. naona hapa tanga w anachimba kweli wanatandaza nyaya zimefungwa kama bundle...... all the way to pangani.....na kuendeleaSio ya zamani, hii ndio mpya sasa

Ubarikiwe sana. naona hapa tanga w anachimba kweli wanatandaza nyaya zimefungwa kama bundle...... all the way to pangani.....na kuendeleaSio ya zamani, hii ndio mpya sasa

Yeah, itakuwa ndio hio hio...

Kwa Tanga inaweza ikawa TTCL hao, mkongo wa TTCL ndio wenye mtandao mrefu zaidi Tanzania na umefika maeneo hadi ya wilaya za pembezoni...

Mitandao mingine kwa Tanga uelekeo wake ni Tanga, Muheza, Mnyusi (hapa ni njia panda kuna unaonenda Bagamoyo na mwingine unaenda Moshi hadi Arusha)
 
Nimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?
Technology ya kishamba sana ,ulimwengu unaamia kwenye satellites , watumie satellites kufanya coverage ya internet na huduma za mawasiliano
Satellite ina cover maeneo yote , kwa satellite nchi nzima inaweza kuwa na telecommunications services kama simu ,internet , mawimbi ya redio , televisheni nk
Kwanini walimzuia Elon Musk kuja kuanzisha huduma hapa kwa kutoa huduma via satellite ?
 
Uko sahihi, safari ni hatua lkn alikataa nape (of course akiungwa mkono na samia)
 
Hivi hakuna njia za satelite?
 
Hivi hakuna njia za satelite?

Zipo lakini siku hizi hazitumiki kwenye mawasiliano ya mobile...

Imebakia kwa TV, radio, internet, hali ya hewa, wanajeshi n.k...
 
Bora ww wamekupa taarifa mimi mb zangu cjui nalia na nani
 
Kuanzia jana network inasumbua sana mpaka leo ijioni bado tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…