Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?Fiber cut maana yake kukatika kwa mkongo wa mawasiliano wa fiber...
Ili kusafirisha mawasiliano baina ya point na point na kuweza kufikia mnara wa simu, mitandao ya simu hutumia ama fiber cable au mawimbi kwa njia ya anga (microwave)...
Sasa nyakati za mvua mara nyingi cable hizi za fiber ambazo huwa zimetandazwa ardhini, kuzolewa na maji na kupeleka kukatika na hivyo kufanya kuwe na katizo la mawasiliano...
Kwa upande mwingine, njia mbadala ya mawimbi kwa anga (microwave) huweza kuathiriwa na mvua kubwa kwa effects kama fading au minara kuchezeshwa na upepo n.k...
Mwisho wa siku unakuta njia kuu na mbadala zote zimepata hitilafu, hivyo kupelekea mawasiliano kuwa hafifu au chini kabisa...
Airtel ni uchafuTangu jana tunapata shida sana na mtandao. Rekebisheni kasooro iliyopo. Au tuhamie airtel?
Nimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?
Na leo tena TTCL hamna kitu, emergency only.Itakuwa minala imeenda na mafuriko [emoji848][emoji848][emoji848]
...
Zamani walikuwa wanatandaza nyaya za copper (electrical) wakati sasa ni fiber (optical)...
Kwa nini fiber na sio njia nyingine, ni kwa sababu kwenye fiber unaweza ukasafirisha data nyingi kwa kasi zaidi...
Fikiria hivi, copper iwe ni Old Bagamoyo road, halafu fiber iwe ni barabara ya Kimara hadi Kibaha
Ubarikiwe sana. naona hapa tanga w anachimba kweli wanatandaza nyaya zimefungwa kama bundle...... all the way to pangani.....na kuendeleaSio ya zamani, hii ndio mpya sasa
We nae ni kulialia tu, una kichaa?nimelia sana 😿😢
hapana mkuu tigo wamenikosesha dili ndo maana nalia mkuuuuWe nae ni kulialia tu, una kichaa?
Kila uzi we unalia tu mzee?hapana mkuu tigo wamenikosesha dili ndo maana nalia mkuuuu
hapana mkuu sio kila uzi nia mbona zamani nilikua nacheka😿😢😿 nna huzuniKila uzi we unalia tu mzee?
Tumeamia AirtelEneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi!
Kwenu hali ikoje?
======
View attachment 2878279
Technology ya kishamba sana ,ulimwengu unaamia kwenye satellites , watumie satellites kufanya coverage ya internet na huduma za mawasilianoNimekuelea vema kabisa . asante. Mbon fiber kama technology ya zamani, mpaka uchimbe ardhi toka dar mpaka bukoba kutndaza nyaya si ni tabu tupu?
Uko sahihi, safari ni hatua lkn alikataa nape (of course akiungwa mkono na samia)Technology ya kishamba sana ,ulimwengu unaamia kwenye satellites , watumie satellites kufanya coverage ya internet na huduma za mawasiliano
Satellite ina cover maeneo yote , kwa satellite nchi nzima inaweza kuwa na telecommunications services kama simu ,internet , mawimbi ya redio , televisheni nk
Kwanini walimzuia Elon Musk kuja kuanzisha huduma hapa kwa kutoa huduma via satellite ?
Hivi hakuna njia za satelite?Fiber cut maana yake kukatika kwa mkongo wa mawasiliano wa fiber...
Ili kusafirisha mawasiliano baina ya point na point na kuweza kufikia mnara wa simu, mitandao ya simu hutumia ama fiber cable au mawimbi kwa njia ya anga (microwave)...
Sasa nyakati za mvua mara nyingi cable hizi za fiber ambazo huwa zimetandazwa ardhini, kuzolewa na maji na kupeleka kukatika na hivyo kufanya kuwe na katizo la mawasiliano...
Kwa upande mwingine, njia mbadala ya mawimbi kwa anga (microwave) huweza kuathiriwa na mvua kubwa kwa effects kama fading au minara kuchezeshwa na upepo n.k...
Mwisho wa siku unakuta njia kuu na mbadala zote zimepata hitilafu, hivyo kupelekea mawasiliano kuwa hafifu au chini kabisa...
Hivi hakuna njia za satelite?