Tigray Kuna mkono wa Egypt?

Tigray Kuna mkono wa Egypt?

Art of war. Sanaa ya vita
1. ukiona huwezi kuingia moja kwa moja kwenye vita na adui yako basi fanya namna ufanye asitulie Yani mfanye awe bize ili apoteze focus hence ume win.
Kwa mtiti wa Tigray Hilo Bwawa ujenzi ndo basi tena. Maana Abbiy atakua bize na vita badala ya Kujenga Bwawa
 
Tigray ndio walikuwa watawala kwa miaka 27 na walipeleka silaha nyingi kwenye jimbo lao kwahiyo wanasilaha za kutosha
Meles Zenawi alitoka Tigray?
 
Bwawa litaendelea kujengwa japo kwa ufanisi mdogo. Kumbuka Vita haipiganwi kwenye bwawa kwahiyo Kama Wakandarasi wa kichina walisha lipwa hakuna sababu za kutojenga Hilo bwawa.
 
Takbiiir
 
Wamisri (kwa Mwamvuli wa Tigray) wataenda kushusha bomu kwenye Hilo Bwawa. Wakose wote!
 
Hii ni ngumu kuamini kwa sababu walioanzisha huo mradi mkubwa ni serikali iliyokuwa ikithibitiwa kwa sehemu kubwa na Watigray. Miradi mikubwa ya Ethiopia imetokana na utawala wa Watigray ndani ya serikali.
Kwa hiyo motive yao haiwezi kuwa kuhujumu maendeleo ya nchi kwa faida ya sponsor.
 
Ugomvi wa Watigray na Serikali inatokana na kosa lililofanywa na PM AA baada ya kuingia madarakani kwa kutaka kufanya siasa za exclusion. Yaani kujaribu kuwaondoa watu waliokuwa wamejaa ndani ya Jeshi, Intelligence, Polisi, Utumishi wa Umma, Utawala na Siasa.
 
Ndio ujinga alioufanya Kayafa Jiwe mwishowe ikala kwake.
 
Back
Top Bottom