Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa hivyo, maana issue ya bwawa Egypt imewakwaza sana ...Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
Tigray ndio walikuwa watawala kwa miaka 27 na walipeleka silaha nyingi kwenye jimbo lao kwahiyo wanasilaha za kutoshaTigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
Kwa mtiti wa Tigray Hilo Bwawa ujenzi ndo basi tena. Maana Abbiy atakua bize na vita badala ya Kujenga BwawaArt of war. Sanaa ya vita
1. ukiona huwezi kuingia moja kwa moja kwenye vita na adui yako basi fanya namna ufanye asitulie Yani mfanye awe bize ili apoteze focus hence ume win.
And thats art of warKwa mtiti wa Tigray Hilo Bwawa ujenzi ndo basi tena. Maana Abbiy atakua bize na vita badala ya Kujenga Bwawa
NdioMeles Zenawi alitoka Tigray?
Wamisri (kwa Mwamvuli wa Tigray) wataenda kushusha bomu kwenye Hilo Bwawa. Wakose wote!Bwawa litaendelea kujengwa japo kwa ufanisi mdogo. Kumbuka Vita haipiganwi kwenye bwawa kwahiyo Kama Wakandarasi wa kichina walisha lipwa hakuna sababu za kutojenga Hilo bwawa.
Ndio ujinga alioufanya Kayafa Jiwe mwishowe ikala kwake.Ugomvi wa Watigray na Serikali inatokana na kosa lililofanywa na PM AA baada ya kuingia madarakani kwa kutaka kufanya siasa za exclusion. Yaani kujaribu kuwaondoa watu waliokuwa wamejaa ndani ya Jeshi, Intelligence, Polisi, Utumishi wa Umma, Utawala na Siasa.