Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana.

Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure, sasa ataenda kuitumia hiyo pesa yake kununua tiketi kwenye mechi ya Simba. Mechi ya Simba vs Wydad ni ya kikubwa, hakuna mwanayanga atataka kuikosa. Halafu ni kama ananunua tiketi moja kuangalia mechi mbili. Tena nasikia Al Hilal anacheza siku hiyo hiyo, kwa hiyo tiketi moja unaangalia mechi tatu halafu pesa yote inaenda kwa Simba.

Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.

Kwa kuwakumbusha tu Yanga wahakikishe wanatimiza masharti ya CAF ya kutenga sehemu maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Medeama. Msije kuwa mnatumia hii fungulia mbwa kama chaka la kuwatisha mashabiki wa Medeama wanaopanga kuja uwanjani.
Wanataka mpate msajili DJ mwingine baada ya Miso Misondo, ili Simba iwe bendi ya mziki.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo hujui chochote hakuna cha bure ,huwezi ambiwa ingia bure lakini uwe na jezi mpya


Manji hii biashara alipiga sana hela
 
MLETA MADA ww sio GREAT THINKER as jf slogan inavosema.
 
Back
Top Bottom