TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Nimesema inakuja kwa Kasi. Hata wasanii wa YouTube hutangaza content zao TikTok. Wao wameanzisha kitu Cha tofauti na you tube ila kupata wateja wanaowahitaji. Nafkiri baadaye watarekebisha vitu vingi. Ingawa aliyeanza ameanza. Lakini china kama china imejitahidi ku msaka us ktk technolojia
 
1. 😅Why unampenda John Morrison?
2. 🤣So YouTube hamna vichupi ama?
TikTok na YouTube zote ni algorithms, Kama we una Mambo ya mpira vitakuja vya mpira Kama unapenda vichupi vitakuja vichupi. So usisingizie TikTok, Kama unapenda vichupi si useme tu
 
Kweli mkuu watu wa rika zote wanahangaika kupata bando la kuingia TikTok kila siku na sio YouTube
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ila TikTok ilinishinda. Nili-install App ile kufungua tu nakutana na video tena zinaplay zenyewe halafu content hata sielewi, nikafuta.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ila TikTok ilinishinda. Nili-install App ile kufungua tu nakutana na video tena zinaplay zenyewe halafu content hata sielewi, nikafuta.
Ule ndo utamu sasa watu wanaoutaka, watu wanataka burudani na burudani yenyewe inapatikana TikTok peke yake
 
Nilipokuwa nafanya degree yangu Bsc. Course nyingi nilizielewa kupitia YouTube .
Miaka mingapi? Kumbuka YouTube ni kizazi kipya. Dunia inabafirika sana, vijana wanakuwa wengi alafu sisi watu wazima tunapungua mtandaoni kutokana na ubize was maisha
 
Mitandao yote hii miwili kila mmoja una faida kwangu
1. Youtube naitumia kujifunza juzi mbalimbali.
2. Tiktok naitumia kurefresh mind kwa vituko na vichekesho.

Yote kwa yote Jamiiforum ndio baba lao, humu napata kila kitu maarifa, burudani mpaka ugomvi naupata humu, nishawahi kupigana na mjinga mmoja anaitwa Nshomile wa Muleba sema aliniotea akanipiga na nyundo akapata point ila ntamtafuta tena turudie pambano.
 
Miaka mingapi? Kumbuka YouTube ni kizazi kipya. Dunia inabafirika sana, vijana wanakuwa wengi alafu sisi watu wazima tunapungua mtandaoni kutokana na ubize was maisha
TikTok kakamata uma
 
We umemaliza kabisa, umedadavua kwa kina, naimani wataelewa sasa
 
MB za watu zinaishia TikTok ww unafamasihara e
Kuna watu ambao hawana cha kufanya mtandaoni, wenyewe ni kuangalia udaku, video za ngono na video zingine ambazo hazikupi ujuzi wowote. Kundi hili wapo wengi sana yaani ukiandika makala jinsi ya kutengeneza simu au program fulani basi ni watu wachache sana watasoma ila wengine ni stori za umbeya tu. Tiktok ndiyo imeteka watu hao. Mtu ana miaka zaidi ya 5 anatumia internet lakini hana hata ujuzi mmoja aliojifunza mtandaoni. Huwa naona hata hapa JF, ule uzi wa kula tunda kimasihara, unawafuasi wengi sana. Ule uzi ulinishinda hata kusoma. Ni ngono tupu
Nimejifunza vitu vingi sana mtandaoni kupitia website, blog na Youtube. How to make money online? nashukuru sasa na mimi na make money online
Katika simu yangu huwa natumia hizi app
1. YouTube
2. WhatsApp business
3. Telegram
3. Facebook
Nilijiunga JF kwasababu ya jukwaa la TECH na siyo vingine. Kulikuwa kunashushwa madini mpaka unasema kweli hii ndiyo JF ila kilipokuja kizazi cha TikTok. Likapotea, huwa naingia YouTube tu
 
Mtu ni mfanyabiashara kauza 5M asubuhi mpaka jioni, usiku anaingia TikTok anaburudika wewe unamwona fala hapo umepotea baba, wengi sana wanaotumia TikTok ni watu na kazi zao kwa siku wanauza mpaka 20M kwahiyo anapoingia TikTok unadhan boya labda. Usikariri watu, hata huyo aliyeandika kula uzi kimasihara unaezakuta ni mmiliki wa Hotel kubwa ila ukamchukulia poa anavyoburudisha watu.
 
Tiktok kwa YouTube bado Sana yan haijamfikia ata kwa robo tiktok ni upuuz tu afu usichokojua watoto kama nyiny wakike ndo munaijua tiktok ukute dume linatumia tiktok daaaah nadra Sana YouTube ni baba wa taarifa na maarifa.tiktok mtandao wa mashoga
 
Tiktok kwa YouTube bado Sana yan haijamfikia ata kwa robo tiktok ni upuuz tu afu usichokojua watoto kama nyiny wakike ndo munaijua tiktok ukute dume linatumia tiktok daaaah nadra Sana YouTube ni baba wa taarifa na maarifa.tiktok mtandao wa mashoga
Mashoga kweli mnawaonea hawapumui yan na walivokuwa wengi sasa nyie ndo mnawatoboaga afu mkija mbele za watu mnatuzugia 😀
 
Akili yako ndogo sana
 
Nipe link nikaone hizo do it yourself

Huyo dogo anajaribu compare YouTube na tiktok😂 hajielewi

Nimejua vitu vingi YouTube

Siingii mtandaoni kuangalia challenge gani sijui au kucheka cheka

Naweza unda vitu vingi vya umeme nasuka amplifier elimu nimetoa YouTube sijawahi enda shule yoyote ya hayo maswala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…