TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Umeandika ujinga mtupu, Tiktok ni TAKATAKA, iko pale kwaajili ya watu wenye upeo mdogo.
Youtube haitokuja kupotezwa na tiktok labda itokee app nyingine, youtube ni bahari ya maarifa wakati tiktok na kisiwa cha ujinga!
TikTok ndo inatengenezea watu umaarufu wanafika mbali YouTube haimsaidii mtu kwenye umaarufu yan hovyo kabisa
 
TikTok ndo inatengenezea watu umaarufu wanafika mbali YouTube haimsaidii mtu kwenye umaarufu yan hovyo kabisa
Umaarufu upi huo unaozungumzia? Umaarufu wa malaya na mashoga!!!!???
Mtu anayejitambua huwezi kumkuta tiktok. Binafsi niliwahi kufungua akaunti tiktok lakini ilinichukua week moja tu kulog out na ku-unstall ile app.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Tiktok itaipoteza Youtube kwa Tanzania labda ila sio duniani huko. Wabongo mmejaza ujinga vichwani ndio wengi mko Tiktok. Mtu makini hawezi kuhangaika na mtandao wa kishoga kama Tiktok
 
Tiktok itaipoteza Youtube kwa Tanzania labda ila sio duniani huko. Wabongo mmejaza ujinga vichwani ndio wengi mko Tiktok. Mtu makini hawezi kuhangaika na mtandao wa kishoga kama Tiktok
Mashoga ni wahuni tu kule , TikTok kuna vitu bana acha kujitoa ufahamu
 
Watakuwa wamekusikia
 
Tiktok si ndio mtandao wa kishoga umejaa magasho tu. Katika kitu ambacho sitakuwa kufanya ni kuwa na account TIKTOK. Kuna video za hovyo na za kujidharirisha ili uwe na viewers. Poleni sana vijana.
Wangese hao si wanaliwa na wabongo hawa hawa? Kila mahali wapo huwezi ukasema huingii Facebook eti kwasababu kuna mashoga chakufanya unaingia lakini unawakataa
 
Tik tok Sina iyo app ,huwa nikiona maudhui yake napata kichefuchefu. Ila YouTube maarifa niliyoyapata huko Ni priceless ,yaani hayana Bei ,Ni makubwa mno mpaka yananifanya napata my own living.
Ila huko huwa nadhani watikisa viuno, vichekesho, funny, comedy,wanaojiuza kwa kusingizia kutoa ushauri.

Yaani huko Kuna pleasure zaidi ya pains.

We grow when we encounter pains. Jiulize Ni Mara ngapi unajsomea kitabu na muda unaotumia kuingia social networks, kucheki tv, vichekesho na miziki ama kucheki yanga na simba wako,

Linganisha na muda unaowekeza kwenye your own self development and in your field. Umeshawahi waza ujifunze ujuzi fulani ama hata faida ya kutumia garlic,ginger,lemon,how to drink water,etc hapa wapo wanaojali Ni wachache ,Ila ngoja tujichekeshe na kupeana furaha baadaye tuje kulalamika kuwa hakuna ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…