TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Wacha ubushi we dogo, huwezi linganisha YouTube na mambo ya kitoto hayo. Tiktok ni yenu nyie watoto.
 
Mchina aliyeanzisha tiktok mjanja sana kaweka ili mataifa mengine yapoteze muda kunengua na kufanya ujinga ujinga ila kwa wachina tofauti,imeanzishwa kwao lakini hawaitumii kwakifupi wanatumia Douyin na content zao tofauti mule sio zakunengua na ujinga ujinga mwingine mfano kununua bidhaa n.k ukimkuta mchina ananengua tiktok ujue huyo kama aishi Nje ya China basi atakua mvietnam,kwao hadi WhatsApp unaingia kwa VPN haipo wana WhatsApp yao,,,
 
Hapo umekubali sasa kuwa hakuna mtu mshenzi duniani kama mbongo πŸ˜‚
 
Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nyie majamaa bana daah... Ila tiktok kuna vyuma aiseee acha kabisaaa
Nilimfuna mzee mmoja kiongozi mkubwa sana kazama TikTok anachek kalio ndo tabia zao afu wakija hadharani wanajifanya TikTok ya kijinga kumbe ndo wanakopatia pisi
 
Wanatumia Wechat ...ni wajanja sana hawa jamaa wanainuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…