TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Nilimfuna mzee mmoja kiongozi mkubwa sana kazama TikTok anachek kalio ndo tabia zao afu wakija hadharani wanajifanya TikTok ya kijinga kumbe ndo wanakopatia pisi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We bwana mdogo kuna litoto limoja la mbez huko huwa naangalia video zake lile toto kudadeki, ila me sina application huwa natumia web browser alafu natumia computer sio simu ningekuwa na computer yangu ningekupa jina na wewe ukaliangalie hilo toto lilivyo lakwenda
 
Matoto ya TikTok yapo vizuri so poa
 
Unavyilinganisha tiktok na You tube
Nina wasiwasi na umri wako
Nina wasiwasi na elimu yako
Nina wasiwasi na makalio yako

Hata kweny hii app sjui alikuelekeza nani mpka ukafika na ukadumu

Mwenye wasi wasi nyingine ajazie apo
Naitetea sana TikTok kwasababu inakuza vipaji bila gharama yako nje na bando lako lakini YouTube haikuzi vipaji ukitaka kufahamika lazima ufanye promotion
 
Umetumia vigezo gan kuleta hoja yako
Tiktok maudhui ya saa moja inabidi uangalie vipande kumi sabu tiktok content ni dakika 10
Na youtube maudhui yake mi masaa akuna kukata akuna parts
 
Umetumia vigezo gan kuleta hoja yako
Tiktok maudhui ya saa moja inabidi uangalie vipande kumi sabu tiktok content ni dakika 10
Na youtube maudhui yake mi masaa akuna kukata akuna parts
Sijui kwanini mnaenda YouTube na matangazo yote yale utafkiri upo kariakoo
 
Youtube ni mlima. Hauwezi kuuondoa labda unaweza kuupanda. Content za youtube huwezi kuzipata sehemu yoyote ile kwa pamoja. Kuna video kibao za programming kuanzia 2010 huko, documentaries, habari zote tokea kipindi hicho. You tube ni informative, educative and entertainment site. Usilinganishe ni hiyo tiktok ambayo imejaa mizaa na vichekesho kwa asilimia kubwa. Youtube watu wanajifunza mpaka kupika chapati, kushona nguo, kila aina ya skill unayoijua. Unaweza kusoma chochote kuhusu Mathematica au Chemistry, engineering, biology, languages nk
 
TikTok yupo mbioni kumuinamisha YouTube, TikTok kila mtu anaonesha ujuzi wake, YouTube anakuja kubaki historia
 
Huawei alikuwa tishio kwa iphone? Are you serious? Kama ni hivyo kwa nini Marekani hawawafanyii figisu Samsung ambao ndio true competitor wa iPhone?
 
Fatilia maana ya "tube" ukishaelewa utaacha kuifananisha na tik plus tok
 
Usiponitajaga huridhiki mwenyewee?? Hadi unitajee ndo roho yakoo kwatuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Haya relaaaaaaxx sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…