Yaani mimi kinyume chake sipendi mkia yaani basi tu.Nashabikia Man City
Naichukia sana Yanga...sina roho ya chuki kwa wachezaji ila silipendi neno YANGA
Mkuu nikushauri hata mboga za majani kaa mbali nazo maana ni magogoni kiongozi!Yanga FC
Manchester United
Arsenal FC
Chelsea FC
Real Madrid
Sababu kubwa ya kuwachukia Kunakotukuka ni kwamba Wachezaji wao wengi wana ' vimelea ' vya Umagomeni Mapipa kwa Macheni.
Asante mkuu!Kama ningekuwa na uwezo ningeiangamiza kabisa hii team inayoitwa Simbwa sc, sijui Simba sc.
Sababu ninini mkuuHapana ila siipendi Yanga, timu yoyote ikicheza na Yanga mm nashingilia hiyo nyengine
Angalia usije ukachukia hadi machungwa!Yanga, naichukia sababu ya rangi ya jez zao
Kuna wakati unaweza kumchukia mtu na hujui sababu ila na mashabiki wake wanakelele sana kama wa Man USababu ninini mkuu
vimelea vya Umagomeni mapipa kwa macheni ndio vipi hivyo?
Mashoga wengi wapo hapoJiongeze na kama unashindwa kung'amua ' Mafumbo ' yangu haraka tafadhali usipoteze muda wako kunisumbua kuniuliza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mshabiki wa Mancity, ila timu yangu ikicheza na Man u, mashabiki wa Chelsea wanakuwa kwangu, na nikicheza na Chelsea, mashabiki wa man u wanakuwa wananisaporti. vivyohivyo nikicheza na arsenal, utasikia mashabiki wa Chelsea na man u wakisema ; Piga hao mbwa piga kabisa huyo wenga. yaani sijui sasa mm niichukie timu gani hapo.
Man city akiwa anataka kucheza na Man U , utasikia mashabiki wa Chelsea wakiwaambia mashabiki wa Man u, : leo mnaipata habari yenu leo;