Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Asernal sijawahi ichukia...wala kuipenda..sema huwa nawaonea huruma...nawaona kama vitoto vinavyo tapatapa...vinaonewa
 
Man u, simba siyapend aya matimu ni heri yashuke daraja kabisa
 
Yanga FC
Manchester United
Arsenal FC
Chelsea FC
Real Madrid

Sababu kubwa ya kuwachukia Kunakotukuka ni kwamba Wachezaji wao wengi wana ' vimelea ' vya Umagomeni Mapipa kwa Macheni.
Mkuu nikushauri hata mboga za majani kaa mbali nazo maana ni magogoni kiongozi!
 
Naichukia sana Simba sababu rangi yao inafanana na pazia la sangoma uwa ikifungwa kwangu burudani wengine MAN U
 
Barca na Simba,
Ktk maisha yangu ya ushabibiki zaidi 20 years sijawahi kuombea washinde mechi yoyote ile
 
Mimi ni mshabiki wa Mancity, ila timu yangu ikicheza na Man u, mashabiki wa Chelsea wanakuwa kwangu, na nikicheza na Chelsea, mashabiki wa man u wanakuwa wananisaporti. vivyohivyo nikicheza na arsenal, utasikia mashabiki wa Chelsea na man u wakisema ; Piga hao mbwa piga kabisa huyo wenga. yaani sijui sasa mm niichukie timu gani hapo.

Man city akiwa anataka kucheza na Man U , utasikia mashabiki wa Chelsea wakiwaambia mashabiki wa Man u, : leo mnaipata habari yenu leo;
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani kweli tupuuu,
Timu kubwa zikifungwa na timu flani mashabiki wa iliyofungwa wanaombea timu zingine zifungwe na yuleyule aliewafunga wao, huu ushabiki upo EPL zaidi
 
Back
Top Bottom