Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume.
Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie.
Mwanaume ukikataa uwepo wa Mwanamke kwenye maisha yako, unakuwa umekataa Familia, (Maisha bila familia Unayaweza?)
Mwanamke anaweza kumuhudumia mwanamke mwenzie huduma zote kama hajiwezi,
Lakini Mwanaume hawezi muhudumia mwanaume mwenzie, mfano, Mafalme akizeeka hupewa mjakazi wa kike sio kidume cha mbegu 😃
Wanawake wengi wanaweza kushika kazi za wanaume,
mkumbuke dunia imebadirika haitegemei tena Nguvu, ni akili zaidi watumia nguvu ni wale maskini (Slave)
Unaweza kusema Mwanaume ni jasiri kuliko Mwanamke ??? Sidhani
Kwanza hii kataa ndoa Nafikiri wanaojeruhika zaidi ni wanaume ndio maana wameona kujitoa kwenye mapambano cha kufia nini
Sasa iko hivi Wanaume Turudi kwenye nafasi zetu kama vichwa, lakini turudi tukiwa na akili, nguvu na maamuzi sahihi wanawake wa kuowa bado wapo wengi tu,,
Tengeneza Malengo, alafu tafuta Mwanamke anayeweza kufit kwenye hayo Malengo...
Unahitaji Mambo matatu kushinda.
1. Kumjua sana Mungu
2. Akili (Mawazo ya Ndani) na bidii.
3. Upendo usio na sababu na uvumilivu.