min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Umri wa kuishi kwa sasa ni mfupi sana hakuna mda wa kukumbizana na mtu mwenye meno 32 mkuu 🤔🤔🤣🤣🤣 hapo katoka kaenda kwa mamaake halafu hapokei simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wa kuishi kwa sasa ni mfupi sana hakuna mda wa kukumbizana na mtu mwenye meno 32 mkuu 🤔🤔🤣🤣🤣 hapo katoka kaenda kwa mamaake halafu hapokei simu
Mzee wangu anaingiaje hapa boss, hausiki. Kama wewe una umri mkubwa na upo humu ukipiga kampeni ya vijana wasioe we sema tu miaka yako na hujaoa ili watakao taka uwe role model wao wakufollow.Unauhakika mimi sio sawa na MZEE wako!?
Basi hakuna tabu mkuuMzee wangu anaingiaje hapa boss, hausiki. Kama wewe una umri mkubwa na upo humu ukipiga kampeni ya vijana wasioe we sema tu miaka yako na hujaoa ili watakao taka uwe role model wao wakufollow.

Darasani naingia kila siku, mafundisho ni mazuri mno kwa afya ya akili ya mwanaume ila sikariri, kila mafundisho nachanganya na za kwangu sababu binadamu tunatofautiana.Basi hakuna tabu mkuu
Rudi darasani
🤣🤣🤣✌️tunashukuru kwa maoni yako lakini kikao cha mwisho tulivokaa na kujadili juu ya hili swala tulikubaliana kwamba
"HAKUNA MTU ANAETAKA USHAURI WAKO"
KATAA NDOA NDOA NI:
utapeli
wizi
na ulaghai.
Huyu mleta uzi sijui katuchukuliaje amekuja na hoja rahisi sana.tunashukuru kwa maoni yako lakini kikao cha mwisho tulivokaa na kujadili juu ya hili swala tulikubaliana kwamba
"HAKUNA MTU ANAETAKA USHAURI WAKO"
KATAA NDOA NDOA NI:
utapeli
wizi
na ulaghai.
Hoja nyepesi za mtoa mada ndio sababu hata wanawake wenyewe wanapata nguvu za kuvimba mitaaniHuyu mleta uzi sijui katuchukuliaje amekuja na hoja rahisi sana.
Mimi napenda kumwambia ndugu Surya kuwa unaweza uka oa na ukawa na familua na woote wakafa wakakuacha ukiwa pekee yako huku duniani.
Mwanaume unatakiwa ujue hakuna wakukusaidia maisha usioe ili uje kusaidiwa maisha. Utakuwa disappointed sana.
HakikaKataa ndoa ni ujanani tu, wakishafika 50 hawatashaurika, ni watageuka jeuri hao na lazima watake mama ndani tena ndogo ndogo na hata muwakumbushe vipi kuwa mlisema ndoa no hawataelewa.
Kila jambo na wakati wake, sijasema lifanyike kwa haraka.Mimi huwa nawashangaa hata mabroo huku mtaani. Mtu anakwambia oa bhana.
Wewe unaweza ukaona ndoa ni nzuri kwa sababu umeoa mke mzuri,haku cheat,sio mchawi,hakuchuni,hakupigii makelele ukirudi kazini nk.
Unaenda kumshawishi kijana wa kiume aoe mke ambaye hujui hata tabia zake.
Mimi naona mtu hata asipo oa aachwe tu, asipigiwe kelele za oa oa oa ( hapa nazungumzia huko mtaani ).
Alafu kuna watu wachache ambao wameona ndoa kwao ni sababu ya kuyumba kiuchumi, hivyo wanapo muona kijana mdogo anapambana huku akiwa hana familia Wana anza kumuonea wivu. Wanataka aoe, azidiwe na majukumu ili afanane nao kiuchumi. Hii ipo sana ila usipokuwa muelewa utaona kila anayekushauri kuoa ana nia nzuri na wewe.
Hoja yangu kubwa ni kwamba wanaume wanatakiwa wawe huru kwenye jamii kuhusu suala la kuoa na hii haijalishi ana mpango wa kuoa au hana kabisa.Kila jambo na wakati wake, sijasema lifanyike kwa haraka.
Kosa ni kulipiga mateke jambo la muhimu.
Unachezea majukumu kijana kama pesa ipo oa ila kama bado unajitafuta ukajichanganya lazima uchakaeMimi huwa nawashangaa hata mabroo huku mtaani. Mtu anakwambia oa bhana.
Wewe unaweza ukaona ndoa ni nzuri kwa sababu umeoa mke mzuri,haku cheat,sio mchawi,hakuchuni,hakupigii makelele ukirudi kazini nk.
Unaenda kumshawishi kijana wa kiume aoe mke ambaye hujui hata tabia zake.
Mimi naona mtu hata asipo oa aachwe tu, asipigiwe kelele za oa oa oa ( hapa nazungumzia huko mtaani ).
Alafu kuna watu wachache ambao wameona ndoa kwao ni sababu ya kuyumba kiuchumi, hivyo wanapo muona kijana mdogo anapambana huku akiwa hana familia Wana anza kumuonea wivu. Wanataka aoe, azidiwe na majukumu ili afanane nao kiuchumi. Hii ipo sana ila usipokuwa muelewa utaona kila anayekushauri kuoa ana nia nzuri na wewe.
Bado najitafuta.Unachezea majukumu kijana kama pesa ipo oa ila kama bado unajitafuta ukajichanganya lazima uchakae