Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
Mmeletewa huu mdundo sasa hivi mnashangilia mmesahabu habari za hatumtaki MangunguMnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
Wamekudhulumu nini we mbumbumbu? Uyo ndio amedhulumiwa mbona kawajibu vizuri tu na umbumbumbu wenu wa kudandia vitu msivyovijua👇Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
Wameenda wapi kina Mangungu?Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.